Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

TEHAMA at work........ Kiukweli kwenye media CCM wamepiga bao.....Ukawa wanapaswa kuiga haya.....na sio kuponda tu
 
UKAWA mtakunya mwaka huu Moana matako yapate KUTU...subirini wiki ijayo ndio mwisho wenu kwenye history
 
Ni Vurugu tu,Hakuna namna!!Fisadi Lowassa atakuwa anachungulia kutokea KIBORLOLONI.
 
Haya rudini tena kariakoo mkakusanye maoni kwa vibaka kujifurahisha. Mwaka huu tunabomoa hadi kibanda cha umbwa

TAKWIMU...UTAFITI ULIOFANYWA NA SHIRIKA LA UTANGAZAJI DUNIANI BBC..
KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO:

DAR ES SALAAM
lowassa 50%
Magufuli 48%

IRINGA
Lowassa 43%
Magufuli 54%

NJOMBE
Lowassa 28%
Magufuli 64%

RUVUMA
Lowassa 37%
Magufuli 64%

MWANZA
Lowassa 28%
Magufuli 72%

ARUSHA
Lowassa 51%
Magufuli 49%

MANYARA
Lowassa 65%
Magufuli 35%

KILIMANJARO
Lowassa 55%
Magufuli 45%

TANGA
Lowassa 28%
Magufuli 61%

MOROGORO
Lowassa 20%
Magufuli 79%

TABORA
Lowassa 15%
Magufuli 75%

KIGOMA
lowassa 12%
Magufuli 70%

MTWARA
Lowassa 28%
Magufuli 68%.

RUKWA
Lowasa 18%
Magufuli 88%

Je, mtu atachomoka hapo?

Sambaza ujumbe kwa WOTE ili wajionee

HAPA KAZI TU
Heeeeh. Mbona unaweweseka.........

...eti Njombe, Ruvuma, Mwanza Lowassa ana asilimia ngapi?! uuh; hao wazungu wana kifafa au ni kichaa cha mbwa?! na huo utafiti waliufanya wakiwa London au Birmingham?!
magamba mna kazi mwaka huu.!!
 
Naweza kuona maana sasa hivi ccm inaendeshwa na misingi ya 'simba na yanga' hivyo kwa kiwango chao ncha fitina kituo chochote kitakachotangaza mkutano wa jangwani watavuruga masafa kama walivyofanya juzi Mbeya.
Mungu usikiliza maombi ya waombaji; najaribu kufikiri hii nchi itakuwaje pale ccm ikitokea ikarudi madarakani alafu unakutana na January akiwa wazirei sijui na Nape, Mwigulu wakiwa na vyeo serikalini ...Mungu apishe mbali!
 
Haya rudini tena kariakoo mkakusanye maoni kwa vibaka kujifurahisha. Mwaka huu tunabomoa hadi kibanda cha umbwa

TAKWIMU...UTAFITI ULIOFANYWA NA SHIRIKA LA UTANGAZAJI DUNIANI BBC..
KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO:

DAR ES SALAAM
lowassa 50%
Magufuli 48%

IRINGA
Lowassa 43%
Magufuli 54%

NJOMBE
Lowassa 28%
Magufuli 64%

RUVUMA
Lowassa 37%
Magufuli 64%

MWANZA
Lowassa 28%
Magufuli 72%

ARUSHA
Lowassa 51%
Magufuli 49%

MANYARA
Lowassa 65%
Magufuli 35%

KILIMANJARO
Lowassa 55%
Magufuli 45%

TANGA
Lowassa 28%
Magufuli 61%

MOROGORO
Lowassa 20%
Magufuli 79%

TABORA
Lowassa 15%
Magufuli 75%

KIGOMA
lowassa 12%
Magufuli 70%

MTWARA
Lowassa 28%
Magufuli 68%.

RUKWA
Lowasa 18%
Magufuli 88%

Je, mtu atachomoka hapo?

Sambaza ujumbe kwa WOTE ili wajionee

HAPA KAZI TU
Heeeeh. Mbona unaweweseka.........

Hebu weka source ya taarifa zako mkuu?
 
So indio hayo waliyoitia waandishi wa habari aliyosema January Makamba?
Ccm out mwaka huu.
 
CCM, fedha za kufanya haya zipo, lakini za kununua dawa na vifaa vya hospitali, hakuna! Mmezidi kuwasha hasira zetu, ni lazima tuwakatilie mbali, na kulinda kura ni LAZIMAAAAAAAAAAA!!!!!!!
 
Makamba anaonesha how 'pedestrian politician' he is.
Gharama kubwa wakati hawapati kitu.
 
Naweza kuona maana sasa hivi ccm inaendeshwa na misingi ya 'simba na yanga' hivyo kwa kiwango chao ncha fitina kituo chochote kitakachotangaza mkutano wa jangwani watavuruga masafa kama walivyofanya juzi Mbeya.
Mungu usikiliza maombi ya waombaji; najaribu kufikiri hii nchi itakuwaje pale ccm ikitokea ikarudi madarakani alafu unakutana na January akiwa wazirei sijui na Nape, Mwigulu wakiwa na vyeo serikalini ...Mungu apishe mbali!

Ccm ni ile ile serikali ni ile ile ya Lukuvi..January..Mwigulu..Nape..wote ni mawaziri.
 
[B said:
Prof Haliyamtu[/B];14425485]Haya rudini tena kariakoo mkakusanye maoni kwa vibaka kujifurahisha. Mwaka huu tunabomoa hadi kibanda cha umbwa

TAKWIMU...UTAFITI ULIOFANYWA NA SHIRIKA LA UTANGAZAJI DUNIANI BBC..
KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO:

DAR ES SALAAM
lowassa 50%
Magufuli 48%

IRINGA
Lowassa 43%
Magufuli 54%

NJOMBE
Lowassa 28%
Magufuli 64%

RUVUMA
Lowassa 37%
Magufuli 64%

MWANZA
Lowassa 28%
Magufuli 72%

ARUSHA
Lowassa 51%
Magufuli 49%

MANYARA
Lowassa 65%
Magufuli 35%

KILIMANJARO
Lowassa 55%
Magufuli 45%

TANGA
Lowassa 28%
Magufuli 61%

MOROGORO
Lowassa 20%
Magufuli 79%

TABORA
Lowassa 15%
Magufuli 75%

KIGOMA
lowassa 12%
Magufuli 70%

MTWARA
Lowassa 28%
Magufuli 68%.

RUKWA
Lowasa 18%
Magufuli 88%

Je, mtu atachomoka hapo?

Sambaza ujumbe kwa WOTE ili wajionee

HAPA KAZI TU
Heeeeh. Mbona unaweweseka.........
Labda utafiti wa BBC ya Lumumba project huo.
Chagua UKAWA, chagua LOWASA.
Mwaka wa mabadiliko huu hukuna wa kuzuia.
 
Je amezungumzia Chopa Mbovu aliyokodisha ktk kampeni zao ambayo imekatisha maisha DF ??????????
 
Kimenuka kimenuke CCM Yatawanyika nchi nzima
 
Nilichogundua katika taarifa hii ya CCM.

1/CCM haina tena ngome ya kisiasa hapa nchini, hivyo hawana tena uhakika wa eneo lolote hapa Tanzania kupata ushindi wa moja kwa moja wa kura za urais, ubunge na udiwani.

2/Mpaka sasa kampeni za CCM hazijaonyesha kuzaa matunda, kilichobaki kwa CCM ni kukaba hivyo hivyo mpaka dakika ya mwisho kabisa.

3/Mbali na nafasi ya urais kuwa ngumu sana kwa CCM mwaka huu hata nafasi ya wabunge na madiwani kwa CCM ni finyu sana.

4/Hali ya woga, kuhamaki na kutokujiamini imetanda sana miongoni mwa makada wengi wa CCM wa ngazi ya juu mpaka chini kabisa.

5/CCM imegundua Magufuli pekee hana nguvu na ushawishi wowote mkubwa wa kuivusha CCM katika ichaguzi huu kwa ngazi yoyote ya Urais, Ubunge na Udiwani. Njia pekee ni kutumia kila mtu mwenye nafasi ya kuweza kusikika kijamii ili kuushawishi umma.

6/Silaha pekee iliyobaki kwa sasa kwa CCM ni kutumia vyombo vya habari vingi kwa kiwango cha juu kabisa kujaribu kuushawishi umma wa watanzania ambao tayari umeshaamua kufanya mabadiliko. Kifupi silaha iliyobakia kwenye ghala ya CCM ni PROPAGANDA.

7/Kwa mara ya kwanza CCM imegundua imepoteza nguvu katika kila kanda kuanzia ngazi ya Chini kabisa.
 
Ng'ombe hanenepi siku ya mnada,kwa kuwa wananchi wameamua kufanya mabadiliko ya kukiondoa Chama Cha Mapinduzi Madarakani hakuna namna chama hiki kinaweza kunusurika kifo na kifo chenyewe kitakuwa cha kishindo kikuu!!!..Ninaamini pamoja na mikutano hiyo yote ya LIVE nchi nzima bado wana mabadiliko tutamchagua EDWARD NGOYAI LOWASSA!!!
 
Back
Top Bottom