lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,470
- 9,053
Najaribu kuangalia kiwango cha uelewa wa Watanzania wa sasa kilivyopanda na wana uwezo mkubwa kuchanganua facs, hii ni kwa karibia 95% ya Watanzania wote. Inawezekana kweli hizo live coverage za dakika za lala salama zikapata hata 1% ...najua itakuwa ni vitisho a kila aina ya uzandiki, kazi watakayofanikiwa labda ni kama watajipanga vizuri kwenye wizi wa kura.Ccm ni ile ile serikali ni ile ile ya Lukuvi..January..Mwigulu..Nape..wote ni mawaziri.
Angalizo: Udanganyifu wa aina yoyote na wizi wa kura uliopitiliza utapelekea kiama kwa nchii hii pendwa!