Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,020
Binadamu.wabayaa,hivi kweli hizi teuateua umekosa.UDC kabisakabisa!!!,au kuna vigezo huna dada?
Atakuwa hana ukuu wa wilaya huyo.
Binadamu.wabayaa,hivi kweli hizi teuateua umekosa.UDC kabisakabisa!!!,au kuna vigezo huna dada?
mimi binafsi nashangaa sana mtu anaposema waliomzomea Magufuli ni wahuni na wavuta bangi.Kwani wahuni na wavuta bangi siyo wapiga kura??au siyo watanzania??
Waeleze hawa vijana wanafikiri hii nchi imeota kama uyoga. Wataanza kulia nyau sasa hivi.
![]()
Hako Ka-Jambazi Sugu kameshakubali
kwenda kuchunga ng'ombe Monduli
We kiazi ni nani aliyekuwa anamuombea mwenzake afe! Kama syo nyie magamba! Kumbuka nyie mafccm mmelaaniwVip babaako ndo anaambiwa maneno hayo kuwa kafaaa utajisikiaje....lofa katika ubora wako
Dalili za uchumi unaotumikia siasa badala ya siasa kutumikia uchumi. Mikutano hii ni dalili tosha kuwa CCM imebanwa pabaya mwaka huu na haina budi kujaribu kila mbinu baada ya matusi kushindwa kutoa majibu yakulidhisha.Wakuu,
Leo saa Saba mchana, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es Salaam.
Nitawaletea moja kwa moja kile watakachokuwa wanakizungumza wa ajili ya Watanzania.
================
Hadi sasa wazungumzaji wa Chama hawajafika ukumbini, waliofika hadi muda huu ni waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari.
Nimepata taarifa kuwa mkutano huu utarushwa moja kwa moja (live) Azam Two.
Pindi wahusika watakapofika nitakaanza kuwapa kile walichotuitia.![]()
Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbvali vya habari wakiwa ukumbuni kusubiri kuanza kwa mkutano huo.
January Makamba ameingia ukumbini na sasa anazungumza na waandishi wa habari anasema jambo kubw ani kuzungumzia jinsi CCM watakavyofunga kampeni zao.
-Amesema watafunga mikutano hiyo katika mikoa 7 nchini. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM kitaifa waliopo madarakani na wastaafu.
Anasema mikoa hiyo na viongozi wakaoongoza mikutano hiyo ni pamoja na mkoa wa Mwanza - Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais, na Samia Hassan Suluhu, Mgombea Makamu wa Rais
-Tanga Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM, Mbeya Benjamin William Mkapa, Mwenyekiti wa CCM Mstaafu
-Mtwara Ali Hassan Mwinyi, Mwenyekiti wa CCM Mstaafu,
-Kigoma Philip Mangula, Makamu Mwenyekiti wa CCM,Kilimanjaro Yusuf Makamba, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu, Mara Joseph Warioba, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu Mstaafu.
Amesema Kati ya leo na kesho, maeneo mengine yanaweza kuongezeka.
-Mikutano hii itaanza saa sita mchana na itarushwa, yote kwa pamoja, kwa matangazo ya moja kwa moja ya vituo vya televisheni vitano na vituoa vya redio 67.
-Vilevile, watakaohudhuria katika mikutano hii wataunganishwa moja kwa moja na mkutano wa Mwanza, alipo Mwenyekiti, Mgombea na Mgombea Mwenza, na wataweza kusikiliza hotuba ya Dkt. Magufuli moja kwa moja kupitia screens zitakazokuwa katika viwanjani vyote hivi saba.
-Namna hii ya ufungaji wa kampeni itakuwa ni ya kihistoria, na inadhihirisha nguvu ya CCM inayoiwezesha kufanya mikutano mikubwa ya kampeni kwa siku moja katika maeneo mbalimbali nchini.
-Pia tutafanya historia katika tasnia ya utangazaji wa televisheni hapa nchini kwa kutangaza na kuunganisha kwa pamoja matukio saba kwa wakati mmoja.
-Kwa upande wa Dar es Salaam, tutafanya mkutano mkubwa wa ufungaji wa kampeni za Mkoa wa Dar es Salaam, katika Uwanja wa Jangwani, kesho, Ijumaa, tarehe 23 Oktoba 2015.
-Siku ya Jumamosi, tarehe 24 Oktoba 2015, Wagombea Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam watafunga kampeni katika maeneo ya majimbo yao kwa namna mahsusi.
Kama Chama, tumeridhika na ubora na ukubwa wa kampeni tulizofanya licha ya changamoto za hapa na pale. Dkt. Magufuli na Ndugu Suluhu wamefanya kazi kubwa, na kwa bidii kubwa, na maarifa makubwa.
-Wamekuwa barabarani kwa siku 57 wakifanya mikutano kati ya 8 hadi 12 kwa siku.
-Imani yetu ya ushindi inatokana na kazi kubwa waliyofanya. Pia, CCM inawashukuru viongozi, wapenzi wa washabiki wake wa makundi mbalimbali ya kijamii - kote nchini kwa kazi kwa kazi kubwa ya kampeni waliyoifanya.
-Kutokana na kazi kubwa na nzuri iliyofanyika, na kutokana na mwenendo wa tafiti huru na tafiti zetu za ndani, CCM inategemea ushindi wa asilimia zisizopungua 69.
-Anazungumzia suala la amani kuwa CCM haitachoka kuendelea kusisitiza uchaguzi wa amani na utulivu.
-Sisi kama chama kikubwa cha siasa nchini, chenye wafuasi wengi zaidi, na chenye dhamana ya uongozi wa dola, tutatimiza wajibu wetu wa kuhimiza utulivu kwa wapenzi, washabiki na wanachama wetu.
-Tunawataka na wenzetu wafanye hivyo.
-Kauli za wenzetu kwamba kura zitaibiwa ni kauli za kutojiamini na kujiandaa kufanya vurugu.
-Kauli za kwamba washabiki wa UKAWA wakishapiga kura wabaki vituoni kulinda kura si kauli za wanaotaka uchaguzi wa amani.
-Kwa utaratibu wetu wa uchaguzi, utaratibu wa pekee kwa Chama kulinda kura zake ni kwa kupitia wakala wa vyama waliopo kwenye kila kituo cha kupiga kura na wenye nguvu na mamlaka ya kisheria ya kushuhudia zoezi zima, kuanzia kupiga kura, kuhesabu kura hadi kutangaza matokeo.
-Pia Kura zinapigwa na kuhesabiwa vituoni mbele ya wasimamizi wa uchaguzi, mawakala wa vyama na waangalizi wa uchaguzi wa ndani na nje ya nchi.
-Kwa upande wa Mawakala wa vyama na wasimamizi wa uchaguzi wanaweka sahihi kwenye fomu za matokeo, na matokeo hayo yanatangazwa na kubandikwa kwenye kituo.
-Kwenye kituo kikuu cha Tume cha kujumlisha matokeo, mawakala wa vyama pia huwepo na Tume hujumlisha matokeo kutoka kwenye fomu za matokeo za vituo vya nchi nzima zilizosainiwa na mawakala wa vyama kwenye kila kituo.
-Kwa viongozi wa UKAWA kuwaambia watu waingie barabarani au kuvizunguka vituo vya kupigia kura eti ili kulinda kura hakuna maana yoyote zaidi ya kutafuta namna ya kuhalalisha vujo, vurugu na uporaji na kuwazuia watu wengine, hasa wanawake, kupiga kura.
-Tunaviomba vyombo vya ulinzi na usalama vizuie hili jambo kwasababu halina nia njema.
-Mkakati wa UKAWA ni kufanya vurugu baada ya kushindwa na kutengeneza mazingira ya mgogoro wa kisiasa ili Jumuiya ya Kimataifa iingilie kati na kupendekeza kugawana madaraka. Mkakati huo hautafanikiwa.
-Tunaviomba vyombo ya ulinzi na usalama vihakikishe ulinzi na usalama wa watu wote na mali zao siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi.
-CCM haitakubali hata kidogo ushindi wake kuhojiwa au kutiliwa shaka kwasababu tu ya vurugu zilizoanzishwa na watu wengine.
Amesema siku ya Jumamosi, CCM itatangaza namba maalum za simu kwa Watanzania wote ili siku kabla ya uchaguzi, siku ya uchaguzi na mara baada ya uchaguzi, waweze kupiga simu au kutuma ujumbe pale watakapokuwa wanabaini au kushuhudia vitendo vya kuvuruga amani.
-Kuhusu matokeo, CCM imeweka utaratibu wa kupokea matokeo kwa kutumia mawakala wake moja kwa moja vituoni na kupitia mtandao wa Chama.
Sisi tunategemea kuwa na matokeo ya uchaguzi nchi nzima ifikapo saa nne usiku, siku ya uchaguzi.
Mkuu umekosea, sasa hapo unatudhalilisha wanaume. Andika hivi we mwanamke humtoshelezi mume wako ndo maana hajakukumbuka kwenye uteuzi.Mme wako hakutoshelezi!!
Haya rudini tena kariakoo mkakusanye maoni kwa vibaka kujifurahisha. Mwaka huu tunabomoa hadi kibanda cha umbwawatasema kuwa utafiti mpya unaonesha magufuli atachaguliwa kwa asilimia 80%
Watasema Lowasa amekimbia mdhalo
Watasema lowasa amikanyaga kwenye interview na BBC
Watasema CDM wamewalipa vijana wamzomee magufuli
Haya rudini tena kariakoo mkakusanye maoni kwa vibaka kujifurahisha. Mwaka huu tunabomoa hadi kibanda cha umbwa
TAKWIMU...UTAFITI ULIOFANYWA NA SHIRIKA LA UTANGAZAJI DUNIANI BBC..
KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO:
DAR ES SALAAM
lowassa 50%
Magufuli 48%
IRINGA
Lowassa 43%
Magufuli 54%
NJOMBE
Lowassa 28%
Magufuli 64%
RUVUMA
Lowassa 37%
Magufuli 64%
MWANZA
Lowassa 28%
Magufuli 72%
ARUSHA
Lowassa 51%
Magufuli 49%
MANYARA
Lowassa 65%
Magufuli 35%
KILIMANJARO
Lowassa 55%
Magufuli 45%
TANGA
Lowassa 28%
Magufuli 61%
MOROGORO
Lowassa 20%
Magufuli 79%
TABORA
Lowassa 15%
Magufuli 75%
KIGOMA
lowassa 12%
Magufuli 70%
MTWARA
Lowassa 28%
Magufuli 68%.
RUKWA
Lowasa 18%
Magufuli 88%
Je, mtu atachomoka hapo?
Sambaza ujumbe kwa WOTE ili wajionee
HAPA KAZI TU
Heeeeh. Mbona unaweweseka.........
hawajampeleka Nape India tuu