kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Sidhani kama ulilazimika kujibu...
Wewe ndiye unaulazima wa kuhoji?
Sidhani kama ulilazimika kujibu...
Magufuli HAJAMSHAMBULIA hata mara moja Lowassa kama ni fisadi sababu anajua alicho fanya kwenye kugawana nyumba zetu!Weak entry point ya Lowassa ni RICHMOND lkn kama hadi uchaguzi unaisha hujamshambulia hamna namna ya kumshinda!!Yaani ubungo ndio DSM, na mbagala ni wapi, posta, kino, mikochen,mbezi, mwenge, makongo, ????????huko kote ni Arusha??Kuzomea ni uhuni haimaanishi ni dalili ya kufanikiwa,Rika linalomuunga mkono mamvi ni miaka 15-25 walio wengi na hizo ndio tabia zao, vijana watu wazima 25+ hawawezi kufanya upuuzi huo!
Narejea tena hili, mashabiki wa simba kuzomea kocha wa Yanga haimaaanishi Yanga itafungwa mechi, matokeo yapo uwanjani, wala haimaanishi kuna shabiki wa Yanga atahamia Simba kwa kuwa kocha wao kazomewa!
NAPE AMEKUFA nini...?
Usidanganyike na TAFITI za January Makamba wa TWAWEZA ndugu yangu!Laigwan Rais Jumapili usiku
sasaa... ulitaka aseme ataandamana??? si ungekuja hapa na BREAKING NEWS wewe!!!!Mwenyewe kasema ataenda kuchunga ng'ombe, vipi wale alipo-mpo, mtaenda naye kuchunga ng'ombe?
Yaani bila aibu nilitegemea atasema atabaki akijeng chama alichokivunja kwa mikono yake, poor you
Hii ndio ile ya kumkaribisha KIONGOZI MKUU wa Bavicha au nyingine..?
usikute nape amededi wanataka kututangazia RIP nape