Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

Mgombea ubunge Wa jumbo la bumbuli amesema eti vyama vya upinzani vimepanga kuleta Fuji siku ya uchaguzi.Taarifa ya January makamba huo in uongo mkubwa acha kuwadanganya wananchi.CCM mmekuwa Na kampeni za matusi zikiongozwa Na Kiongozi mkubwa sana Mstaafu Rais Mkapa pale alipowatukana Watanzania kuwa ni MALOFA Na WAPUMBAVU.
Ww blaza unaonekana unafikiria fito za miguu.rejea kauli ya mkapa.hakusema watanzania.alisema viongozi wa upinzani
 
Mohamed Gharib Bilal, Mizengo Pinda ,Prof Mark Mwandosya watafunga wapi kampeni ??? Haha Ccm poleni Sana
 
Mgombea ubunge Wa jumbo la bumbuli amesema eti vyama vya upinzani vimepanga kuleta Fuji siku ya uchaguzi.Taarifa ya January makamba huo in uongo mkubwa acha kuwadanganya wananchi.CCM mmekuwa Na kampeni za matusi zikiongozwa Na Kiongozi mkubwa sana Mstaafu Rais Mkapa pale alipowatukana Watanzania kuwa ni MALOFA Na WAPUMBAVU.

Magamba wamepanga kuanzisha fujo tayari, hilo liko wazi. Wana mchecheto wa kushindwa, wameanzisha maandamano bila kibali cha policcm Moshi bila kuchukuliwa hatua zozote. Wameshashindwa hao, Laigwanan amekomaa na UKAWA, hawaamini kile wakionacho.
 
Mwenyewe kasema ataenda kuchunga ng'ombe, vipi wale alipo-mpo, mtaenda naye kuchunga ng'ombe?

Yaani bila aibu nilitegemea atasema atabaki akijeng chama alichokivunja kwa mikono yake, poor you
Hujui siasa kijana
Obama alisema akishindwa atarudi kufundisha
Bush alisema atarudi Texas kuchunga mifugo yake

Lzm utoe option utafanya nn kuishi ukishindwa na Lowassa kapatia sana!Vipi bana mbona Magufuli kamkwepa Bibie Zuhra Younus?
 
Tunawashukuru sana wananchi kwa kuiamini UKAWA .
Sisi Kyela TUMEISHA CHAGUA siku nyingi sana!
Rais Lowassa
Mbunge Mwanyamaki
Diwani Mwalimu Mama Jimmy Ambokile(kura yangu naipigia kijijini kwangu Itunge nje kidogo ya Kyela Mjini na nitabaki hapo kulinda kura yangu)

Wewe bado haujachagua?
 
Back
Top Bottom