MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,235
Tunakusubiri Mkuu. Waeleze pia madhara aliyoyapata Nape Nnauye kwenye ajali ya gari leo hii
Kwani hayo madhara yana uhusiano gani na kampeni zilizokuwa zikiendelea....??
Tunakusubiri Mkuu. Waeleze pia madhara aliyoyapata Nape Nnauye kwenye ajali ya gari leo hii
Kwanza kwa Majumuisho ya ubashiri wako ******** anapata 57.29% na Jemedari Lowassa 42.71% na hapo ume cook vyakutosha ubashiri wako... HAHAHA yani na kupendelea kote huko umeambulia 57.29% chini ya utafiti fake wa ndani wa ccm na twaweza washikaji wa J. Makamba.Haya rudini tena kariakoo mkakusanye maoni kwa vibaka kujifurahisha. Mwaka huu tunabomoa hadi kibanda cha umbwa
TAKWIMU...UTAFITI ULIOFANYWA NA SHIRIKA LA UTANGAZAJI DUNIANI BBC..
KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO:
DAR ES SALAAM
lowassa 50%
Magufuli 48%
IRINGA
Lowassa 43%
Magufuli 54%
NJOMBE
Lowassa 28%
Magufuli 64%
RUVUMA
Lowassa 37%
Magufuli 64%
MWANZA
Lowassa 28%
Magufuli 72%
ARUSHA
Lowassa 51%
Magufuli 49%
MANYARA
Lowassa 65%
Magufuli 35%
KILIMANJARO
Lowassa 55%
Magufuli 45%
TANGA
Lowassa 28%
Magufuli 61%
MOROGORO
Lowassa 20%
Magufuli 79%
TABORA
Lowassa 15%
Magufuli 75%
KIGOMA
lowassa 12%
Magufuli 70%
MTWARA
Lowassa 28%
Magufuli 68%.
RUKWA
Lowasa 18%
Magufuli 88%
Je, mtu atachomoka hapo?
Sambaza ujumbe kwa WOTE ili wajionee
HAPA KAZI TU
Heeeeh. Mbona unaweweseka.........
Nimeipenda finishing ya ccm
Eeh ukawa nyie mnafanyaje ss
Naona umepanic tu, wewe ulikuwa kiongozi wa juu wa BAVICHA mwisho wa siku ukafukuzwa, then ukahamia CCM. Kwa sasa wewe ni kada wa CCM, unaweza ukatupa tetesi za huo mkutano?
Nilichogundua katika taarifa hii ya CCM.
1/CCM haina tena ngome ya kisiasa hapa nchini, hivyo hawana tena uhakika wa eneo lolote hapa Tanzania kupata ushindi wa moja kwa moja wa kura za urais, ubunge na udiwani.
2/Mpaka sasa kampeni za CCM hazijaonyesha kuzaa matunda, kilichobaki kwa CCM ni kukaba hivyo hivyo mpaka dakika ya mwisho kabisa.
3/Mbali na nafasi ya urais kuwa ngumu sana kwa CCM mwaka huu hata nafasi ya wabunge na madiwani kwa CCM ni finyu sana.
4/Hali ya woga, kuhamaki na kutokujiamini imetanda sana miongoni mwa makada wengi wa CCM wa ngazi ya juu mpaka chini kabisa.
5/CCM imegundua Magufuli pekee hana nguvu na ushawishi wowote mkubwa wa kuivusha CCM katika ichaguzi huu kwa ngazi yoyote ya Urais, Ubunge na Udiwani. Njia pekee ni kutumia kila mtu mwenye nafasi ya kuweza kusikika kijamii ili kuushawishi umma.
6/Silaha pekee iliyobaki kwa sasa kwa CCM ni kutumia vyombo vya habari vingi kwa kiwango cha juu kabisa kujaribu kuushawishi umma wa watanzania ambao tayari umeshaamua kufanya mabadiliko. Kifupi silaha iliyobakia kwenye ghala ya CCM ni PROPAGANDA.
7/Kwa mara ya kwanza CCM imegundua imepoteza nguvu katika kila kanda kuanzia ngazi ya Chini kabisa.
Unasema nini mkuu. Tanzia ya nani kafa.
Nimeipenda finishing ya ccm
Eeh ukawa nyie mnafanyaje ss
Waende wakapige kura tarehe 25/10/2015 wamchague huyo wamtakaye na sio kuzomea watu,,hasira wakamalizie kwenye box la kura na si vinginevyo.
Naona wachagga mnatukana viongozi humu ndani