Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna muda nafakali nabaki kujisonya tu,,,, hivi kweli nyota zetu ni chafu kiasi hiko kwamba vichwa vyote hivi tunakosa mechi nne tu japo tatu au nne za mitaji!!!

Kazi iko
Hakuna kitu kinachoitwa nyota kwenye kamari....huu ni mchezo wa probability ...tunadhani kuwa itakuwa hivi au vile ila wanaocheza ni wachezaji...na kuna vitu vingi vinaathiri huu mchezo.

Mfano Man City akicheza na timu inayoshika nafasi ya chini katika ligi...asilimia kubwa ya watu hudhani kuwa ataibuka na ushindi ila matokeo yanaweza kuja ya kushangaza ukaona man city kachezea
 
Wkamaria wote smoma hiyooooooooooooooo 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

Kumbe mkamaria ukipata ushindi mnene bila kusimamiwa na bodi Kanji atakuachia manyoya? Aisee, hii ni hatari!
1709823134387.png

Halafu jamani muelewe kuwa betting ni burudani tu; sio chanzo cha mapato. So, ukiliwa na Kanji usilie sana ilmradi umeburudika. Starehe gharama ndugu zangu.
1709823854629.png
 
GROUP KUPOA:-

Sio kwamba limepoa,ila legends wapo.Na wanapita wakiangalia tu

Tatizo utoto wenye ujinga Mwingi ulikuwemo humu,sasa watu wanatizama hao watoto Ili walikuwa na kutambua kwamba GREAT THINKERS wanawaona wapuuuuzi then Jukwaa litarudi upya.

Ukichanganya na Utapeli wa vijana wenye akili ndogo wa FB kuvamia huku wakiamini kuna watu wa kupiga.Hili nalo limefanya watu kutuliaa Ili kuwa zoom tu Ili tuone mwisho Wao na njaa zao.

But all members are still on betting duties muda utafika mdogo mdogo Watarudi.
 
Back
Top Bottom