Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu maofisa ubashiri eti huu nao ni mpira wa football. Mtu unaweka under 5.5 halafu matokeo yanakuja namna hii. Kweli kamali ni ngumu sana aisee!
1701009464459.png
 
Wakuu nimedeposit kama 25,000/= kwenye 1x bet Lakini Hela haijafika wananipa emails niwacheck Lakini hawajibu emails tokea asubuhi Hapo issue inakuaje? Yameshapita masaa kama 6 hivi
Washakua Wahuni me nilideposit toka tarehe 11 mpaka Leo Hela haijafika kwenye account yangu nikiwacheki wananiambia Nitumie email still mpaka Leo kimya ,kiujumla Hiyo Hela huipati tena
 
Hii timu Nordsjaelland hii ni mara ya tatu inanichania code zangu za maana! Mwishoni kabisa muda bookmarker anataka kuachia cash out

Hata over 0.5!?...

Sitakujaibetia hii timu over my dead body!!!...Hata ikicheza na ihefu! 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20231126-175127.png
    Screenshot_20231126-175127.png
    21.1 KB · Views: 6
Hii timu Nordsjaelland hii ni mara ya tatu inanichania code zangu za maana! Mwishoni kabisa muda bookmarker anataka kuachia cash out

Hata over 0.5!?...

Sitakujaibetia hii timu over my dead body!!!...Hata ikicheza na ihefu!
Timu za Denmark na Poland nilisha write off, huyo nordsjarlland ndo mbwa kabisa hata kuscore anashindwa, kule Poland kuna Legia hata haelewekagi.
 
Back
Top Bottom