Mbochong'a
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 767
- 1,302
Wakuu hivi kwa nini Wanigeria wanazipiga sana hizi 100M kwenye basketball, lakini Wabongo sioni wakishinda 90M za sportybet. Shida ni mtaji au hatupo serious na kamari? Kusema kweli sijawahi kuona screenshot ya 90M humu au X. Au ndio tuna amini kuwa wana edit!!!??