flxjr
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 430
- 174
Hii game vip1x bet pesa nje nje......hahahaha!
Hii game vip1x bet pesa nje nje......hahahaha!
Asante boss wangu nitafanyia kaziKabla mkuu! Ukishamaliza fanya selection zako unashuka hapo chini kabisaView attachment 911646
1x bet pesa nje nje......hahahaha!
Hii hapa ndiyo habari ya mjini kwasasaMkuu kampuny gani nzuri ya kubet online
Dah ukuwek h mkuu ningetupia salio lote
Yan apo aksem goal interval yes ni kwmb kutakua na goli ukienda ndan apo utaon umepew kuanzia dk ya kwnza ad 15 ukwek apo n kwmb ndan ya hz dakik kuw na gol…afu goal interval no kusiw na golHiyo inamaana gn please kwa anaefahamu anijuzeView attachment 911712
NimekusomaYan apo aksem goal interval yes ni kwmb kutakua na goli ukienda ndan apo utaon umepew kuanzia dk ya kwnza ad 15 ukwek apo n kwmb ndan ya hz dakik kuw na gol…afu goal interval no kusiw na gol
Ukiingia footballSawa kwenye eruf t iko wap iyo kaka unaweza kun tag screen shoot kaka
NmekusomaUkiingia footballView attachment 911752
Wakuu uo mkeka ni loss au win na kwannView attachment 911881