Nakubaliana na weweLigi za uarabuni niza kingese....jeshi ni Al hilal riyadh peke yake waliobaki wote miyeyusho tu
Hadi sahivi siamini kama Al Nassr kachana huu mkeka, huyo ndio nilikuwa sina hofu nae kabisa, ila... 😬😬
Bora haoAkina ajax hata kagoli kamoja hakuna, dakika zinayoyoma
Wajinga wamenikosesha 2MAl nasr wameuza mechi na wameongezewa dakika 10+ washinde ila wapi 😅😅😅
Sio poa mwanangu.AJAX NA ASTONVILLA
Mnawataka nini vijana wangu walio jiajiri humu?
Hii ngoma ndio imetuua kabisa yani??AJAX NA ASTONVILLA
Mnawataka nini vijana wangu walio jiajiri humu?
hongera mkuu ila hio ya Al Shabab hizo odds ulibet game ikiwa inakaribia kuisha?Nisipo post mkeka una won kirahisi ila nikipost tu inakuwa lost
Kama huu leo sija post naona kama una kwenda kuwinView attachment 2927560
Ndiyo nilikuwa natime kujazia odds angalau nile sh 10000 kwa 1000hongera mkuu ila hio ya Al Shabab hizo odds ulibet game ikiwa inakaribia kuisha?
Imebaki 1BETPAWA 4DDE371 Total Odds 2.
timu za Urusi na Ukraine za kisenge sana. ndiyo kawaida yao matokeo ya hivyoDynamo kviy mmemuona lakini au hamujamuweka