Huu mtego mbona ulikuwa wazi
 
Wewe ni bingwa humu hayupo wa kukuzidi mpaka sasa
 
Naomba Elimu ya hii option wakuu
BP.. A3C7901
Anaposema "Either half win home"
Anamaanisha katika dk 45 za kwanza ambayo ni half ya 1 ama za mwisho (ambayo ni half ya 2) timu ya nyumbani ishinde na sio droo.

Mfano. Man city anacheza na Tots.
Ukichagua hiyo option maana yake man city ashinde dk 45 zozote. yaani kama anapata goal moja bila sawa ama mbili moja sawa.

Hii inamaana timu yoyote unayochagua... hata kama kipindi cha kwanza itatoa goal moja tu kwa nunge na mpinzani akafunga magoal kumi kipindi cha pili basi mkeka wako utatik. Ama akifungwa magoal kumi kipindi cha kwanza ila cha pili anafunga moja bila moinzani wake kupata goal kipindi cha pili hicho basi umepata.
 
Duu mkuu noma sana aisee
 
kila mkeka wako unacheza wastani wa odds ngapi?
Nachukua timu 5 au 6, huku target odds ni kuanzia 1.4 hadi 1.9 then natengeneza seti tofauti tofauti

Seti ya kwanza. Timu mbili mbili. Hapa kwa timu 6 inatoka mikeka mitano na inakuwa na odd 2 kwenda juu

Seti ya pili. Timu tatu tatu, inatoka mikeka minne.

Seti ya tatu, timu 4 kila mkeka, hapo inatoka mitatu

Seti ya nne, timu tano tano kila mkeka. Hapo inatoka mikeka miwili.

Seti ya tano, naweka timu zote sita ila kati ya hizo sita, mechi moja nashusha target kwenda chini. Mfano ilikuwa ni over 2.5 basi naishusha inakuwa over 1.5. Kwa hiyo ukifanya hivyo kwenye kila mechi. Unapata mikeka 6.

seti ya mwisho ni mkeka mama, ambao una mechi zote na original odds ambazo nilikuwa nimepanga kubeti siku hoyo.

Huu mkeka wa mwisho ndo unakuwa kama pilot, huu ukitiki inamaana mikeka yote huko chini imetiki. Usipotiki huo kwa maana ya baadhi ya timu zikachana inamaana na hiyo mikeka ya chini kuna baadhi itatiki na migine itachanika.

Mfano hapo kwenye tarehe moja, ni moja kati ya sita ilichana mkeka kwenye mkeka mama, ndo maana mikeka 4 ilitiki na 9 ikachanika. Kwa hiyo kama hiyo timu isingechana, mikeka yote 13 ingetiki.

Faida ya hii njia ni kuwa haupotezi mazima. Kama unavyoona tangu tarehe 1 mkeka mama haujatiki ila hasara ni 56% kujumlisha na stake ya leo ambayo mechi zake bado hazijaanza kuchezwa. Tofauti na ningebeti mkeka mmoja, hasara ingekuwa 100%


Nipo najaribu nione hadi mwisho wa mwezi itakuwaje. Ila so far so good.


Sorry kama mwandiko hausomeki vizuri, nipo ground napiga tizi kimtindo...
 
Hii option vipi
Iko na ushindi au ndio ngumu kufanikiwa
 
Wewe ni bingwa humu hayupo wa kukuzidi mpaka sasa
Hapana mkuu ni bahati tu inanitembelea sometimes. Mikeka mingi ninayoiaminia kabisa na kustake high inachana, nisiyo na uhakika nayo kabisa yaani 20/100 kuwin na unakuta nimestake low inawin. Mfano mikeka niliyostake low kuanzia jumamosi imenipa faida ya 1,700,000 ila niliyostake, High sijaambulia hata mia mbovu just imagine.


Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…