Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 13,388
- 9,758
weka pichaWakuu najua haiwahusu ila kisa kule kwenye group kimefikia patamu Sana tuko episode ya 71 saizi full mauza uza malkia anafanya mambo ya ajabu lwanda kashakua doni balaa
NB bila kusahau shipa la kimkakati linapigwa hatari
Samahanini ndugu zangu