Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mkubwa kumbe umesoma Turwa,huo mwaka 2000 ulikuwa darasa la ngapi mura.
Mimi mwaka 2000 nilikuwa darasa la nne wakati mwalimu mkuu akiwa ni tayari Maiga huku msaidizi wake akiwa ni mama yake Reginald Mutakyawa
 
Hata wewe unajua kuandika. You are among the best writers I have encountered. .
Mkuu LwandaMagere
Shukrani kwa kisa ulichokileta jukwaani. Binafsi nimeinjoi kukisoma. Lakini zaidi nimefurahia kuisoma mitaa niliyokulia pia. Nimekaa Bomani hapo na nimesoma Buhemba mazoezi, hivyo mitaa unayoitaja mingi nimeiishi. Maisha ya Tarime yalinijenga mno, hasa namna ya kukabiliana na ubabe kwa ubabe, so kusoma hapa mitaa hii imenipa kumbukumbu nzuri.

Kuhusu critics, usiziweke sana akilini. Ukiona mtu anakuponda huku anasoma hadi episode ya mwisho, jua anakukubali kiaina. So write what and how you feel. Tusiofurahia ulichoandika tutakuponda ila bado tutarudi tena kukusoma. Jukwaa lahitaji waandishi wengi so keep them stories coming.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom