Dadii
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 749
- 1,180
Kweli wewe ulipita kitambo mie nilikuwa kipande hicho 2014 mpaka 2019...mpaka mwaya kule kuna kilima kimoja matata sana...vgote vina lami....kule shida baridi sana ndio maaana watu wanakulana sana...alafu watu wa kule ngono wala sio dhambi...yaaani easy tu watu kulana mnooo yaani kuke ndio kuna kukulana kimasiharaBora wameweka lami!! Kipindi cha mvua ilikua balaaa ni mwendo wa kudandia fuso tu duh! Kitambo sana!