Kipindi hicho nasoma pale KWIRO HIGH SCHOOL 2008--2010 nilikuwa naogopa sana pale kivukoni na ule mlima Ndololo ,ila kipindi nasoma pale vijana wengi walikuwa na videmu ST.AGNES SEKONDARI na REGNAMUND ila kuna mwanafunzi tulikuwa tunasoma darasa moja ,alikuwa anasoma HKL alimpa mimba mwalimu mmoja ,mwalimu KIMBUNGA akasuspend mpaka siku ya mtihani wa TaifaMkuu mwaka gani iyo ..
Nilikua kwiro pale 2007-2010.. tumepanda sana mafuso..
Mabasi machache afu kipindi cha mvua hayaendi. Nakumbuka moro best na ile chimpanzee [emoji2]