Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,426
- 2,414
Nakumbuka naenda Ulanga,2014,kufika Kilombero kivuko kimesombwa na maji[emoji23][emoji23]ile siku siji kuisahau. Kuvuka tukafanikiwa kuvuka,kufika upande wa pili ziko Noah ndo zinapeleka watu Ulanga na Mahenge,pale ndipo nliposhuhudia kile nlichokuwa nakisikia kuwa Noah imepata ajali watu 15 wamefariki. Ilikuwa safari kafiri. Nimefika Ulanga,muhudumu wa Guest hajui nini maana ya risiti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],akaniuliza au ni kile kitabu cha njano? Nkamwambia kalete nikione,kuleta nkamwambia hiki ndicho. Nkajiandika dau langu pale nkaondoka.
Hivi ile njia ya kwenda ulanga ule mlima walishaurekebishaga???? lol Moro best kitambo sana mahenge ile milima milima na mawe tu[emoji119][emoji119]! Nimekumbuka samaki na ndizi za pale kilombero kivukoni kumbe sikuhizi ndio mnaita darajani duhh kitambo sana!
Pindi nimemaliza four huku nasubiria majibu nipo mahenge nilikuaga na kiboy kilikua six kwiro boys lol![emoji16][emoji16]