kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,775
- 20,691
- Thread starter
- #661
Pole Sana,,, maids wa jikoni na bar sijui tabia zao zinafanana! Anaweza kukupark hapo na mkaelewana kila kitu kumbe jamaa yake yupo pale amekaa! Then huyo jamaa yake atapangwa na ww unaenda kupewa mzigo kiulaini kabisa [emoji2]Niliomba ulinzi wa meneja,kuwa Mimi ni mteja tu nilikua sijui.
Na ukiona amekataa leo sio hakutaki, Kuna mtu keshaelewana nae pengine kalipia kabisa room, wewe utapewa kesho !