Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,311
- 46,810
[emoji3][emoji3]Mi nlichukua room Gest kwa ajili ya mgegedo na Dem wangu. Ile tumeingia kuanza mgegedo.
Kama dk 10 za mwanzo, tukaanza kusikia kilele kwenye makorido. Mara wagonge kwenye mlango wetu.
Mara tusikie "Bwana Yesu asifiwe". Kumbe Gest ilikodiwa na wanakwaya, walikuja kwenye Xmas.
Mzuka wote ulikata, sikuweza kuendelea. Nilishuka, mgegedo ukaishia hapo.
Yule demu alinimaindi mno eti tuendelee.