BROO
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 360
- 69
Itakua ivo.Waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu FM
Itakua ivo.Waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu FM
Hata iweje hamuwezi kuacha kuisikiliza radio Clouds
watu wengine bwana!ebu toa mirangi yako inatuumiza macho.
Kumbe tuko wengi tunaoteswa na hiyo rangi! Apite tu.
4 sure, binafsi sijamsomaoya hii langi yako sio. utafanya watu wasisome post zako.
Mkuu Dubu huyu unamsaida namna hiioya hii langi yako sio. utafanya watu wasisome post zako.
Redio ni nzuri ila inaalibiwa na baadhi ya watangazaji wake wanajifanya kila kitu wanajua wangine tunajua wanajipendekeza kwa baadhi ya viongozi upande wa Magamba.
Redio ni nzuri ila inaalibiwa na baadhi ya watangazaji wake wanajifanya kila kitu wanajua wangine tunajua wanajipendekeza kwa baadhi ya viongozi upande wa Magamba.
Nimeona clip ya Lusinde akiporomosha kampeni za mijitusi huko Arumeru kupitia You Tube, lakini pia nilisikiliza nyimbo ya Sugu kupitia You Tube, ki ukweli hawa jamaa waliporomosha Mijitusi lakini wote wakiwa na sababu zao binafsi za kufanya hivyo!!!!
Nikabahatika pia kusikia siku zote mbili Clouds walivyochambua hizo clip na nyimbo;
Kiufupi wailaani sana na kuiponda sana nyimbo ya Sugu (hadi kuhusisha boss wao mkubwa pale kuiongelea na kudiriki kuiplay hiyo nyimbo kidogo),Lakini hii ya Lusinde jamaa kaishia kushangilia tu (japo kwa kejeli fulani) lakini hawakuchambua kama walivofanya kwa Sugu.
Hoja: Binafsi Clouds naipenda na vijana wengi najua huwa tunaisikiliza hasa wakati wa asubuhi tuendapo ktk mihangaiko na jioni tukiwa tunarudi, lakini sijaridhishwa na utendaji kazi wake hasa linapokuja suala la kisiasa, Je wanataka kuniaminisha kuwa Clouds ni mashabiki wa chama fulani?na mm kama kijana nahitaji habari za kisiasa ya kishabiki? au kuchambua ni nani na nani yupo sawa kimalengo na mtizamo?
Ushauri: Usawa na Haki katika Media ni muhimu sana ktk kukuza demokrasia na maendeleo, Clouds pls revisit this angle!
Kuna mtu anaitwa Kibonde, huyu nafikiri anawaangusha sana. Sijui shule yake vizuri ila naidoubt. Jamaa anajifanya anajua kilakitu wkt mi sioni cha maana zaidi ya comedy zake. Hando yuko nondo, actualy ni kwa vile vicheko vyake pale asubuhi vimemualert kila mtu na watu tumeingia u-tb na kuiona ile clip mitusi. Clouds wanatambua vijana wanataka nini sasa, alarm nyingi zimeshawagongea mfano Bushoke alipozomewa pale leaders nk. hata kupatanishwa na Sugu nafikiri ni mision. wajipange wanaweza kukosa suport ya serikali(CDM govt) like how they r enjoying now.
Mkuu Dubu huyu unamsaida namna hii
Ni kweli hasa hao wenye vitambi vya bia wanao endesha kipindi cha jioni!Huyo mwingine mwenye kichwa km bufalo cjui magamba wanampaga nn mpk atuonyeshe wazi kuwa wako rt?Kiufupi ni mpumbafu kwa mwanaume kujipendekeza wazi kwenye media inayosikilizwa na wengi!