saudari, asante sana
kwa kuwa moyo wangu uko salama siogopi sana,
japo majereha ni mengi na mengine yanachoma hadi moyoni,
but nipo tu.
Hivi unajua "Asiye na jeraha hucheka kovu?" Hii ndio sababu nami nimekuuliza kuhusu majeraha yako.
Huyu ladyfurahia amekimbilia wapi kwamaana nataka nianzishe jitihada juu yake, si unajua "Jitihadi haiondoi kudura".
haya hiyo hapo " kujenga ukweni ni sawa na....................!!! (a) kujenga kwenye hifadhi ya barabara (b) kujenga kwenye hifadhi za mbuga za wanyama. chagua jb sahihi
Hivi unajua "Asiye na jeraha hucheka kovu?" Hii ndio sababu nami nimekuuliza kuhusu majeraha yako.
Huyu ladyfurahia amekimbilia wapi kwamaana nataka nianzishe jitihada juu yake, si unajua "Jitihadi haiondoi kudura".
ha ha haaa
umepata mahali pema ladyfurahia anamjua Mungu
utakuwa umepata mke mwema
Jitahidi mwalim, ukiweza imba mashairi yote
hadi kieleweke.
Kumbe!!!!!! Huwa nasikia sikia yakwamba ladyfurahia ni mcha Mungu, hata jina lake linaonyesha dhahiri kwamba ni mtu wa kufurahi muda wote, asiyependwa kukwazwa kwa lolote lile. Hii ndio sababu nami nimesogelea mti wenye harufu ya kunukia japo nami niweze kunukia.
Si unajua katika kupiga hatua nyingine kimaisha haina budi kutafuta mwenza ambaye atakuwa anakuchangia mawazo ili kuweza kulisukuma hili gurudumu la maendeleo.
ladydoctor tena?saudari nakutakia kila la kheri sana
Mungu atakuwa pamoja nanyi katika mipango yenu
naamini kuwa hautakuwa kama Arushaone au wengine ambao sitaji kuwataja hapa
muwe na maisha mema sana kwenye ndoa yenu na ladydoctor
ladydoctor tena?
Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu, yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu..
Zaburi 46:
The weak can never forgive. Forgiveness is the attribute of the strong.
...Mahtma Gandhi.
4rgive n' 4rget sio?!!
nimekusoma dogo yameisha!!
ladydoctor tena?
ukiona anachungulia (chabo)...ujue haoni vizuri..
hahahahaaaa!!swhiba umenivunja mbavu zangu!!
umekosa..
sore unajua Lady doctor ananitunzia watoto wangu niliozaa na Bishanga, so
jina nalikumbuka kumbuka
naomba uandike tu [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=68930" ladyfurahia[/URL] badala ya huyo mke mwenzangu.
na kufa na kiu baharini...kujitakia..hahahha ukizama baharini ndio utajua maji si uhai..........