hahahaaaa cousin bana
iga tembo kunya mwishoe utapasuka............!!mi ndukiiiiii!!
Mimi ni nyumba ya udongo sihimili vishindo.
ukisema cha nini ....................
Usiache mbacha kwa msala upitao!
itabidi tukae kama kamati
ukisema cha nini wenzako wakitamani au siyo?
Akutendaye mtende; usimche asiyekutenda.
Mwalimu:
..... anayekutenda mtende, mche asiyekutenda.......
Kwani una multiple ID?
​hahahahaaaa!!na usilolijua sawa na usiku wa giza!!mgaagaa na upwa..
mgaagaa na upwa..
katoka bandanimmhh.....kamati?? ukiona manyoya...........
mgaagaa na upwa..
jamani tupeni misemo na methali hapa kwanini mnaleta kamati ingine wakati kamati hii haijaisha? halafu nitawapeleka milembe yaelekea nyie kichwani tayari
katoka bandani