Wakati umefika wa wazazi au walezi kuwatahadharisha vijana wao na mambo kama haya pia kuwaeleza changamoto
mbali mbali ambazo wanaweza kukumbana nazo huko mitaani.
Wazee wakikaa kimya basi ndio balaa lake hilo!
Kuna ndugu yetu mmoja aliwapelekea wazee wake mchumba jimama la nguvu akasema aozeshwe huyo2 tu, wazee
wakamaliza janja zao zote, ikabidi wamuozeshe tu!! jamaa hadi leo hii yuko nae. it is a bit sad.. dogo hajaenjoy
kabisa vile vi-tight!!!
hivi kuwa jimama na unene unahusika?
We mijimama isikie tuuuuu! Vijana nyie jipelekeni tuuuu! Kuna kijana alijifanya kauzu huyooo, kachukua jimaa la Kino huku kwenda kupiga kazi KASHANGAA MPAKA VIPIRA VIMEZAMAAAA!!!!!!!!!!! Katoka mbio bila nguo!!!! Kama mwehu! Toka tukio hilo, kakomaaaa! Mtu mwlili engine ya vitz afu unavamia Catapiller!!!!!!! LAZIMA UMEZWEEE!
Wazazi wenyewe ndio vinara wa kuchukua dogodogo sasa sijui atakae mtahadharisha mwenzake nani hapo mama anaechukuliwa na serengeti boys au kijana anaechukuliwa na jimama
hivi kuwa jimama na unene unahusika?
Hiyo kali ila niliwahi kusikia kwamba mwanaume anaweza kumkimbia jimama maana huo mzigo sometimes....
Jimama manake umri uwe umeenda na halafu ni mnene pia. Kama umri umeenda lakini sio mnene utakuwa mmama.
Kama umri mdogo lakini mnene utakua bonge!!