Kwa hapa Tanganyika nafikiri kule kwa akina Marwa na Chacha ni hatari zaidi..... ila hapo San Pedro Sula ni zaidi ya hatari karibia kila mwaka wao ni watabe..
Hao wa Arusha mkiwapeleka hata Musoma watajuta kuzaliwa.... huko kwingine sijui tandale, ufipa ni mateja ndio wamejazana.