akasigaji kanu
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 204
- 55
Afghanistan sio waarabu ni wahindi,hata mataifa na makabila hamyafahamu.
Poa hatuyajui mataifa ya kiarabu tuoneshe algeria
Afghanistan sio waarabu ni wahindi,hata mataifa na makabila hamyafahamu.
Algeria iko Afrika,Poa hatuyajui mataifa ya kiarabu tuoneshe algeria
Tuongelea nchi za Arabuni sio za kiafrikaKwani mtoa mada kaitoa afrika😕
Tuongelea nchi za Arabuni sio za kiafrika
Syria iko western Asia,na hawakuwahi kuja Tanganyika wala kuwa wakala wa mngereza kutawala Pwani ya Afrika mashariki,nimekuonyesha nchi za Arabian Gulf,ambao walikuja Afrika mashariki,jinsi nchi zao zilivyo safi.Sasa wewe tukisema unapopataka mala hoooo niwaindu ,tukimema huku unasema hooooo niafrika basis tuonyeshe syria😱
Hawa ndio wanaosema walitutawala, Oman,angalia The Longest world flyoverKwanza napenda kuwashukuru ndugu zangu kwa maoni yenu juu ya hili swala. nadhani tatizo letu kubwa hasa nchi maskini ni kuchanganya maswala haya mawili:- Siasa na Uchumi.
Hata kama wenzetu nchi zilizoendelea wao huchanganya basi utakuta siasa huingizwa tu pale panapoonekana kuna faida kwao ya kiuchumi. Uchumi ndio sura ya nchi, uchumi ndio kiwiliwiwli na na roho ya nchi kwa hiyo maamuzi yote ya siasa lazima yawe ktk kuijenga afya ya taifa na sio kinyume..
Ni kosa kubwa kuwa walafi yaani hatuchagui kinachoingia mwilini mwetu na pia ni kosa kubwa kutokula chakula bora (chenye nutrition) kwa sababu ya imani inayotokana na dhana.
Poloz,
Nakubaliana na wewe, binafsi swala la ajira lina uzito mkubwa sana kwa nchi yetu. na kulingana na mfano mdogo wa mwili hapo juu, sidhani kama kati yetu kuna mmoja wetu anayeweza kuwepo hapa na kuyazungumzia haya kama hana kazi! Ni matokeo ya hizo ajira tumeweza kuchagua nini tunachotaka kula ama kuujenga mwili wetu kwa chakula cha aina gani?.... chaguo la chakula halikutangulia kabisa mfuko wetu..yaani mapato yetu.
Kuna mbinu nyingi sana ambazo nashindwa kuelewa kwa nini viongozi (siasa) na wataalam (wachumi) wetu wameshindwa kabisa kuyatatua maswala haya kulingana na mazingira yetu. Sidhani kama elimu yao imeishia ktk kapu la taka na sasa kinachotumika ni ulafi na ubinafsi.
hata hivyo nitazidi kuchangia zaidi mada hii kila tunavyozidi kusonga mbele maanake mwanga wa mwenge wetu wa uhuru bado upo isipokuwa tunaupuuza na kutumia artificial theories ktk pango hili lenye kiza - Utandawazi.
Syria iko western Asia,na hawakuwahi kuja Tanganyika wala kuwa wakala wa mngereza kutawala Pwani ya Afrika mashariki,nimekuonyesha nchi za Arabian Gulf,ambao walikuja Afrika mashariki,jinsi nchi zao zilivyo safi.
Tatizo Lenu Shule Ndogo, Mkasome Mpanue Mawazo Sio Kila Kitu Cha Mwarabu Mwadhan Dhahabu, Mtumwa Wa Tamaduni. Unaacha kufuga kuku ule mayai, wewe wafuga midevu, fuga na za chin zitokeze kwenye shuka uloivaaa
Tatizo Lenu Shule Ndogo, Mkasome Mpanue Mawazo Sio Kila Kitu Cha Mwarabu Mwadhan Dhahabu, Mtumwa Wa Tamaduni. Unaacha kufuga kuku ule mayai, wewe wafuga midevu, fuga na za chin zitokeze kwenye shuka uloivaaa
Lazima tuu utakua mvaa kipedo.
Wale maaskofu wanne,wenzake Kibwetere walichoma waumini zaidi ya elfu kanisani Uganda na kuwafukia hai wengine,ana tofauti gani na wewe.Hamkawii kujichoma moto.Basi make hamkawiii kujilipua:what:
Kutangulia sio kutawala,hata mhindi alitangulia Afrika lakini hakutawala.We mswaha usikubali kudanganywa na elimu nje ya elimu dunia. Zile elimu za......mnapotoshwa. Muarabu alitangulia kabla ya Mreno, mjerumani na muingereza .
Basi jaribu kuangalia miji waliokaa hao jamaa zako waarabu halafu uje hapa utuambie namna ilivyo formless na full uchafu!
Tumia akili mwarabu hajatawala Tanganyika,mtawala alikuwa mjerumani,akamwachia mngereza,mwarabu alikuwa ni raia wa kawaida tena mgeni.Mtawala ndio wa kulaumiwa ikiwa kuna tatizo katka miji.
Soma maelezo ya aliyeanzisha uzi,alisema sehemu walizoishi waarabu ndio wananchi wanarithi uchafu.Mtawala wa sehemu husika ndio wakulaumiwa kushindwa kusimamia mazingira kwa kuweka sheria ndogo ndogo za kutunza mazingira sio kabila fulaniMada inahusu uchafu sio utawala
Una akili mpaka zimepitiliza.