M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,509
- 1,132
Tumia akili, mwarabu ametawala Afrika Mashariki, Tanganyika ikiwemo, utawala wa kisultan wa kiarabu colony lake lilikuwa kuanzia Muscat-Oman visiwa vya pemba na unguja na mwambao wa Afrika masharik miles 16 kuingia ndan kutoka usawa wa bahari. Hawakudili sana na bara. Hivyo pwani kwa asilimia kubwa ilikuwa chini ya Oman Sultanate Regime, kwenye miji kama Kilwa, Mikindan, B'moyo, Pangan, Tanga, Z'bar ndo ilikuwa ngome zao. Acha kusifia kila jambo kutoka kwa waraabu kwakuwa wewe ni mfuga madevu, pumb.v.u!
Huyo jamaa history ilimpita pembeni