Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,804
Salaam
Nchini Tanzania si ajabu kusikia mashindano ya usafi wa miji na Moshi, Arusha na Mwanza imekuwa ikiibuka kidedea japo kuna vitongoji ni vichafu ajabu.
Mfano mji wa Ifakara maeneo ya mjini ni kuchafu usipime na wakazi hawajari ataa! Uchafu ni asili ya mtu mf jamii zilizokuwa chini ya himaya ya waarabu zimerithi uchafu na ujenzi usio na mpangilio.
Chukulia mfano miji kama Ujiji ni slums na uchafu tuuu na mabadiliko nimagumu kuonekana!
So ajabu kukatizia ktk kichochoro Fulani ukajikuta unatokezea chooni huku ulijua ni njia inayokupeleka uendako!
Tuitaje miji inayoongoza kwa uchafu Tanzania na tushauri nini kifanyike kuiboresha.