Mtu akiangalia suala la uchafu wa miji kwa kuangalia mambo ya kinyesi au utiririshaji wa maji taka huwa namwona ana uelewa kuhusu usafi maana wengi tukisikia mji flani unaongoza kwa usafi akili ya haraka haraka inatutuma kwenye taka ngumu kutokuwepo ovyo mtaani kumbe kuna mambo mengine pia ambayo yanaangaliwa ikiwa ni pamoja na maji taka na ndio maana sishangai baadhi ya watu wanatuma picha mitaa ya wenzetu nje huko ku-verify hoja kwamba ni wasafi na mitaa misafi (of course wapo sahihi ila wakipima kwa kutumia vigezo hivyo kwa hapa Tanzania kuna baadhi ya mitaa ita-score maksi za juu lakini mwisho wa siku chamber za maji taka zimefurika maji na wengine wanayaachia kwenye mifereji.Arusha nimetembelea. Japo cvifahamu sana vitongoji vyake ila kuna ule mtaa wenye nyumba za madongo kuinama hapana aisee. Mbaya zaid ni yale mabwawa ya vinyesi mmmh! Hivi wakaz wa pale wana mapua gani magumu na yasiyockia harufu? Mbaya zaidi ni lile tope!!
Uchafu wa Dar umeletwa na wakuja.
Wewe ukiwa mmojawapo wa hao wakuja
Umemwambia ukweli sanaTumia akili, mwarabu ametawala Afrika Mashariki, Tanganyika ikiwemo, utawala wa kisultan wa kiarabu colony lake lilikuwa kuanzia Muscat-Oman visiwa vya pemba na unguja na mwambao wa Afrika masharik miles 16 kuingia ndan kutoka usawa wa bahari. Hawakudili sana na bara. Hivyo pwani kwa asilimia kubwa ilikuwa chini ya Oman Sultanate Regime, kwenye miji kama Kilwa, Mikindan, B'moyo, Pangan, Tanga, Z'bar ndo ilikuwa ngome zao. Acha kusifia kila jambo kutoka kwa waraabu kwakuwa wewe ni mfuga madevu, pumb.v.u!