toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,553
Hamna data zinasema The Bay Area ni ya tatu kwa sehemu za watu wenye hela duniani haiwezekani kuwe na 63 billionaires alafu useme wanauza sura hapana, inaanza NYC, inafuata Tokyo alafu The Bay Area San Fransisco…Hakuna mwenye ela uko kuna wauza sura tu