Miji ambayo unaweza pata wanaume matajiri

Miji ambayo unaweza pata wanaume matajiri

Miji ambayo unaeza pata mwanaume tajiri na kuazisha nae serious relationship ni Monaco, Geneva, Zurich, London, Hong Kong, Frankfurt, New York, Paris, Toronto na Sydney.

Hii miji ina wanaume matajiri kibao huwezi kosa danga lenye pesa.
Mbeya
 
Haya mawazo ni dalili ya kujikatia tamaa ya maisha na kufikia mwisho wa uwezo wa kufikiri,kuuza mwili ni uamuzi wa mwisho kabisa kwa mtu kutokutambua thamani yake na utu wake.
Akaulize wale waliotoroka kagera kujiuza Dar walidanganywa hivyo hivyo kuwa Kagera wanaume maskini katafute matajiri who kibao Dar wakakuoe

Kufika Dar wameishia vibanda jiuza vinavyobomolewa na mkuu wa mkoa hakuna cha tajiri wa Dar wa kuwaoa.wala nini
 
Back
Top Bottom