Miji ambayo unaweza pata wanaume matajiri

Miji ambayo unaweza pata wanaume matajiri

Miji ambayo unaeza pata mwanaume tajiri na kuazisha nae serious relationship ni monaco, Geneva, Zurich, london, hong kong, frankfurt, new york, paris, toronto na Sydney. Hii miji ina wanaume matajiri kibao uezi kosa danga lenye pesa.
Why San Fransisco is not here wakati ndio top top, Las Vegas, L.A, Oakland should also be on the list
 
San Franscsco kumejaa matechnerds. Ramona hawataki hao. Las vegas ni maskini wanaoenda kujiachia weekend moja tu
The bay area ambayo ndio San Fransisco ambapo ndio silcon valey ilipo na ndio tunapogongea code zetu za java yes matech nerd wapo wengi lakin mzee the city has like 300k millionaires na nadhani ndio mji wenye mabillionaire wengi wako 63 kudadek, alafu ndio ikitoka New York, inakuja Tokyo ndio inakuja The Bay Area, ila L.A haiwez kosa hapo nlikuwa nasoma siku moja somewhere huko Blumberg wanasema L. A ina kama 14 billionaires sasa mzee hii si ni noma kabisa…
 
Naunga mkono juhudi za serikali kutoa elimu ya mpaka kidato cha nne hiwe ya lazima angalau mpaka binti anamaliza kidato cha nne atakuwa amekomaa kiakili na kuweza kujitegemea kuliko ilivyosasa maana mabinti zetu kwasababu ya changamoto ya kiuchumi wanawaza kudanga tu!
 
Miji ambayo unaeza pata mwanaume tajiri na kuazisha nae serious relationship ni Monaco, Geneva, Zurich, London, Hong Kong, Frankfurt, New York, Paris, Toronto na Sydney.

Hii miji ina wanaume matajiri kibao huwezi kosa danga lenye pesa.
Haya mawazo ni dalili ya kujikatia tamaa ya maisha na kufikia mwisho wa uwezo wa kufikiri,kuuza mwili ni uamuzi wa mwisho kabisa kwa mtu kutokutambua thamani yake na utu wake.
 
Back
Top Bottom