Nimejaribu kuangalia, nimeshindwa! Kiukweli Bunge la sasa halina kabisa mvuto.
Mwenyewe nimeona TBC duh aisee mambo yamebadilika kwa kasi sana
Ingawa mvuto wa bunge hakuna
njaa mbaya sana mnalalamika nini sasa kwani hata mlipokuwepo bungeni mlifanya nini zaidi yakuwa mnajitahidi kupinga kila kitu sasa ndiyo wanaume wapo kazini sasa kuipangia nchi mambo mema
kama zamani tuKwa hiyo sasa watu watu wanafanya kazi saa ngapi?
mlikuwa mnafundishwa kufanya kaziWalaaniwe waliotufikisha kwenye hali hii.
Huwezi kupoteza muda kuangalia taarabuMwenyewe nimeona TBC duh aisee mambo yamebadilika kwa kasi sana
Ingawa mvuto wa bunge hakuna
Vipi yule Mbunge wa Uwele aliyekuwa Waziri nyakati hizo alipinga bunge live mpaka mishipa inamsimama na mate kumtoka kama cobra naye amekubali kuonekana runingani?Mabibi na mabwana ITV wanaonekana live bungeni na mijadala ya bajeti inaendelea. Mambo sasa mwendo mdundo!
Kulikoni?
Itakuwa yale mambo yetu ya bunge live yamerejeshwa kimya kimya au ni kwa bajeti hii ya Mwigulu peke yake?
Je, au ndiyo rasmi kuwa yale ya watu kufanya kazi badala ya kuangalia mambo ya bunge sasa ndiyo basi?
Au je, pengine mabadiliko haya ni kwa sababu waliokuwa wanatuchelewesha kimaendeleo hawapo tena bungeni?
Au labda ni katika yale ya moto moto yajayo ya awamu ya sita ya mama Samia Suluhu rais wetu wa JMT kazi inapoendelea?
Si kuwa ilikuwa vyema ikajulikana kama huu ndiyo ulio msimamo mpya na kwa uwazi?
Ninawasilisha.
Ni vikao vya CCM na mamluki wao Covid-19.Kiukweli Bunge la sasa halina kabisa mvuto.
Vipi yule Mbunge wa Uwele aliyekuwa Waziri nyakati hizo alipinga bunge live mpaka mishipa inamsimama na mate kumtoka kama cobra naye amekubali kuonekana runingani?
Ni muhimu wananchi nao wakafuatilia mijadala live...