King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,407
- 96,532
Aiseeee Jiwe sita aka Box sita aka Kilo sita per day kwa ajili ya UTELEZI? Watu mna pesa sana za kuchezea.Jana juma pili nlikua na demu hawa wanaojiita high class
Nlikutana nae kwa ndege tunatoka Arusha tunakuja mwanza sku ya jnee ya wiki hii iliyo isha nkatongoza mambo yakawa sawa
Sasa jana j pili nikaomba tuonane akakubari akaja hotel nikalipa 150k room akaja tutaagiza vinywaji misosi bill ikawa inasoma km 150k misosi na vinywaji watu wawili sasa wakat tunakula akanambia ana shida na laki300k atujaanza mapenzi
Sasa tukaanza yetu unazan nini? kilitokea hamu ya kufanya mapenzi ilikata maana nikaanza kuwaza yan natumia laki6 kisa utelezo unazan ata nguvu ya kumliza nlikua nayo au ya kusikia miguno
Akili yote ikaamia kuwaza laki600k iliyo potea kwa masaa machache
Laki 6 ni ndogo kulingana na uchumi wangu ila mm sijazoea kutumia laki6 kwa sku moja tena ktk starehe mimi sio mlevi na wala siendagi club starehe yangu kubwa bangi so kutumia laki6 ili kupata utelezo ilinikata sana hali
Hiyo Jiwe 6 ungemtumia Bi Mdashi au Mshua au Dogolai angekushukuru mwaka mzima.