onestopcenter
JF-Expert Member
- Aug 28, 2025
- 364
- 730
hahaha! kumekucha walahi.. acha nikajichukulie goma mieWatu wakorofi sana kwenye ule uzi mwingine nimeona wamekutag wewe na setfree🤣🤣
hahaha! kumekucha walahi.. acha nikajichukulie goma mieWatu wakorofi sana kwenye ule uzi mwingine nimeona wamekutag wewe na setfree🤣🤣
Mamba ni ndge , ndio maana anatagaMamba ni nani?
Mamba ni nani?
Hivi mjomba we sio tajiri sina baya au muimba singeli kweli 😂😂😂
Siyo wewe ni huyo puwa breini😂😂hahaha! kumekucha walahi.. acha nikajichukulie goma mie
😅😅😅 Poor Brain angeluwa anakula msiahangazi kama hii ningempa salute 🫡Siyo wewe ni huyo puwa breini😂😂
Wewe unaijua mishangazi yake😅😅😅😅😅😅 Poor Brain angeluwa anakula msiahangazi kama hii ningempa salute 🫡
View attachment 3457671
C.c Binti wa zamani
Ila wewe akili yako😏😏
itakuwa ya viwanja vya visiWewe unaijua mishangazi yake😅😅😅
Umeipenda baby 😁😁Ila wewe akili yako😏😏
Kwahiyo akili yako hapana usije kuniabisha 🤣🤣🤣Umeipenda baby 😁😁
Leo weekend tutoke out basi
usiogope mtoto mzuri.. am gentleman tena more than gentleman 😁😁Kwahiyo akili yako hapana usije kuniabisha 🤣🤣🤣
Kazi kweli kweli🤣🤣
baby 😊Kazi kweli kweli🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 ila Binti wa zamani mtundu wewe idea yako ni nzuri, tumekua na utaratibu wa kutumia mwanga wa blue mpaka nimekua addicted nao na ndiyo mwanga anaofurahia mlokole wangu, tunafurahia maisha ya sex kwa uzuri kabisa utani mwingi maombi kabla ya tendo kwa kweli kanibadilisha sana🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja nikupe ka-suggestion kidogo, mlokole wako inabidi uanze naye kumzoesha mwanga taratibu.
Siku moja ukianza kumuandaa kwa ajili ya mechi huko huko gizani, msifie mwili wake, viungo vyake na umwambie ungependa kuwa unaviona zaidi akiwa kitandani. Ukishasema hivyo, endelea na maandalizi, mpe dozi mlale.
Tafuta kataa kadogo ka mezani ambako unaweza kuongeza na kupunguza mwanga. Akija tena, umwambie ungependa mzime taa kubwa halafu yeye ajichagulie mwanga wa taa ndogo ambao yupo comfortable nao.
Hakikisha mara ya kwanza anakubali kwenye huo mwanga hafifu, unajitahidi sana kumsifia na kumfanya awe comfortable, akikuomba uzime taa katikati mkubalie, halafu next time mtawasha tena. Inabidi uwe mvumilivu na ujue kumchombeza, taratibu tu atazoea!
View attachment 3457149
Wannapenda kunitoa focus na wamama wangu huku mtaani...Watu wakorofi sana kwenye ule uzi mwingine nimeona wamekutag wewe na setfree🤣🤣
Yap wapo, very sexywanaume walalamikaji wapo?😂
Unajua mishangazi nayokula mimi mkuu...😅😅😅 Poor Brain angeluwa anakula msiahangazi kama hii ningempa salute 🫡
View attachment 3457671
C.c Binti wa zamani
Naomba nawe unililieMkija mitandaoni ooh NRNE. Kumbe mkizima data mnatuzunguka mnaenda kufanya mahaba huko na kulia mnalia.