kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,178
Usiniambie umewahi kula mamba, enhee ni mtamu? Na hayo maeneo flani maeneo gani tena🙄🤣ya mamba is okay, kenge sina experience nayo jamani 😁😁.. Nitumie basi location nije nikuchukue tena leo ijumaa, tukila supu.. hao tunaogaa tunaenda zetu mahala flani hivii