Outlaw 005
Member
- Aug 21, 2025
- 26
- 29
Anapewa maziwaAngalieni msimuulize mtoto tumboni sasa🤣🤣
Anapewa maziwaAngalieni msimuulize mtoto tumboni sasa🤣🤣
Mimi nina mubaba wangu 😎Wewe jeeeeeeeeeeeeeeeeey
😋😋😋Naomba tuomboleze pamojaNi msiba wa furaha ouyeaaaah ashhhh
Haya lete muendelezo basi wa mambo ya "oooouuh yeeesss" 😅 😂Ba ntu yupo dsm m nko mtwara ila kwa mwezi tunaeza meet mara mbili
Nipo dar bado , shami mie napitia mengi,Haya lete muendelezo basi wa mambo ya "oooouuh yeeesss" 😅 😂
Kula raha mamaNipo dar bado , shami mie napitia mengi,
Bwana alinimiss bana, kama tumejuana jana,bwana anapiga miti ya haja
Ouyeeeehssss ashh 😅
, ukame waja 😂Binti wa zamani mama antipas uko wapi mama?
Nipo baba Antipas, lete stori!Binti wa zamani mama antipas uko wapi mama?
Vpn imekumeza mama antipas, shusha nyuzi bhn tukeshe nazo, Kuna wengine bado tunawanga huku barabaraniNipo baba Antipas, lete stori!
Haijanimeza buana mbona nipo, ila nyuzi muda huu mbona kama kamuda kameenda 😂 😂 😂Vpn imekumeza mama antipas, shusha nyuzi bhn tukeshe nazo, Kuna wengine bado tunawanga huku barabarani
Usiwaze Niko tayari kuwa spare tyre, Dunia ya sasa haielewkiMimi nina mubaba wangu 😎
Usiwaze Niko tayari kuwa spare tyre, Dunia ya sasa haielewki
Hiyo inaitwa pati ya kimyakimya
Kwahiyo tuchepuke au siyo?Hiyo inaitwa pati ya kimyakimya
Ndio takupeleka kistaarabu nisi kuharibie familia, KUHUS age 28Kwahiyo tuchepuke au siyo?
Una umri gani?
Alafu issue serious ka hizi tuongele pm sio hadharani hivi, nipe idhini basKwahiyo tuchepuke au siyo?
Una umri gani?
Hapana idhini nimekunyimaAlafu issue serious ka hizi tuongele pm sio hadharani hivi, nipe idhini bas
Kisa cha kufanya hivo
Sawa sasa tarehe 7 oktoba 2025, taachia kazi yangu ya mitindo kama fashion modo naomba sapoti yako, uwakaribishe na wengine ili nipate sapoti kubwa,🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿🙏🙏
Sawa tutakusapoti mkuu!Sawa sasa tarehe 7 oktoba 2025, taachia kazi yangu ya mitindo kama fashion modo naomba sapoti yako, uwakaribishe na wengine ili nipate sapoti kubwa,🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿🙏🙏