Yeah possibly. ..Baada ya kuwa ushampoteza.....
Koh Koh Koh "small things matter the most "
Koh Koh Koh "small things matter the most "
Alichoeleza mleta madai ni utafiti kama unaelewa maana ya utafiti. Sio kuwa kila utafiti lazima uwe formal na publications. Unaweza kuobserve jambo kwa kipindi fulani na kutafsiri tayari huo ni utafiti.
Pia katika ndoa wanaume wawili au wanawake wawili (mwanamke aliyejigeuza mwanaume au mwanaume aliyejigeuza mwanamke) hawawezi kuishi pamoja, inabidi waachane ili kila mmoja akatafute mwanamke (kwa case ya kwanza) au kila mmoja akatafute mwanaume (kwa case ya pili).
Ziko familia hata wakialikwa arusi hawawezi kwenda pamoja au hata kanisani hawawezi kwenda pamoja.
Hahaha hapa ndo kituo cha "small things matter the most ". Jina langu lingine ni mfilipino teh. Unfortunately wanawake ndo inaonekana tunaendekeza sana mambo madogo madogo. Na wanaume wengi kutufanyia mmh hamna, watawafanyia wasio wapenzi wao.Ha ha haaah! Habari ndio hiyo mpendwa.
Those are essential pillars za mapenzi....ni building blocks ambazo wahusika lazima wafanye efforts na kuwa conscious nazo muda wote. Bahati mbaya wengi ya wapenzi hawawezi kudai verbally kufanyiwa hivyo vitu lakini ndani ya mioyo yao wanatarajia kufanyiwa na wasipofanyiwa it kills their love silently until it is either too late au watu wanaishia kuishi kwa mazoea tu na hatimaye kila mmoja kutafuta comfort zone yake, as one of the eventual possibilities.
Kudemand haiko poa, ila Ukipewa khaa furahi tu mpendwaUkikutana na mtu anaedemand kujengewa nyumba, kununuliwa gari, huyo ni mjasilimali hayuko kwenye mapenzi.
Mapenzi hayahitaji PhD holder unachohitaji ni TLC Tender Loving Care.
Ni kweli kabisha, kwa yule ambae hajiwezi bila wewe anakupa tu.Kudemand haiko poa, ila Ukipewa khaa furahi tu mpendwa
You and me can make it anywhereKoh Koh Koh "small things matter the most "
Mmh I don't think kama mwanaume akikupa kitu ni kwamba hajiwezi bila wewe. And honestly hakunaga mtu asiyejiweza bila mtu mwingine, huwa tunaassume tu. Unaweza kupewa tu kama zawadi out of upendo tu, na mwingine atakupa kwa sababu tu kuna kitu anataka kuachieve kwakoNi kweli kabisha, kwa yule ambae hajiwezi bila wewe anakupa tu.
I get your point dear, ninakumbuka miaka ya 2000, tulitoka safari, kurudi bongo shost amekuwa surprised na R4 4doors kutoka kwa hubby wake.Mmh I don't think kama mwanaume akikupa kitu ni kwamba hajiwezi bila wewe. And honestly hakunaga mtu asiyejiweza bila mtu mwingine, huwa tunaassume tu. Unaweza kupewa tu kama zawadi out of upendo tu, na mwingine atakupa kwa sababu tu kuna kitu anataka kuachieve kwako
Hahaha zawadi tamu jamani, afu ziwe zinatoka kwa mtu unayempenda afu surprise sasa, tuchozi tuleeeeeI get your point dear, ninakumbuka miaka ya 2000, tulitoka safari, kurudi bongo shost amekuwa surprised na R4 4doors kutoka kwa hubby wake.
Hahaha zawadi tamu jamani, afu ziwe zinatoka kwa mtu unayempenda afu surprise sasa, tuchozi tuleeeee
Such a beautiful feeling ....Just knowing that he thinks about you.
No matter where you goYou and me can make it anywhere
For now, we can stay here for a while
'Cause you know, I just wanna see you smile
Hahahahhhhaahhh....afisa muwekezaj mapenziUkikutana na mtu anaedemand kujengewa nyumba, kununuliwa gari, huyo ni mjasilimali hayuko kwenye mapenzi.
MhhHahahahhhhaahhh....afisa muwekezaj mapenzi