Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

toe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Kwanza ianze kutoa tamko tujue kama CUF ilionewa kwenye uchaguzi 2015 au ilipata kura nyingi kiasi cha kuona aibu na kuta fatwa ya kufuta matokeo upande mmoja na kuhalalisha upande mwengine.
 
Tumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.

Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Usituingize chocho! Asha Rose hakufutwa kazi bali hakupngezewa mkataba, sababu za kutomuongezea mkataba zimo katika mkataba wake wa awali na yeye mwenyewe Asha anazijua na ndio maana hakulalamika hata kidogo.
 
Migiro hakufukuzwa kazi bali contract yake iliisha na haikua extended.
 
Bila Kikwete Ban Ki Moon asingekuwa UN Secreatary General.
Dr. Migiro alimaliza muhula wote wa kwanza.
Daraja la Malagarasi limejengwa kwa msaada wa South Korea, nchi ya Ban Ki Moon. Hapo Kikwete alicheza karata zake vizuri sana.
 
Tumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.

Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Wajameni ifike wakati muache kuzungusha mikono.
 
Tamko la nini..unapokua perfomance yako ni chini ya kiwango na muda wako wa kuhudumia ukiisha si unapigwa chini? Au tunadhani UN na agencies zake wanabeba 'mizigo' ? ni perfomance tu hakuna longolongo!
 
In a hierarchy organizational or otherwise , we rise or get promoted to our level of incompetence. Migiro anajua hili.
 
Dr Migiro hakufukuzwa kazi, alimaliza mkataba wake na UN. Na hata Ban ki Moon naye anamaliza mkataba wake. Hakuna kazi permanent UN. Unapewa contact, ikiisha unaweza ongeza. Au usiongezewe kutokana na performance yako.

Kwa hiyo Ban naye angeweza kuongezewa muda au kuna limit ya muda yaani tenure au terms?
 
Tumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.

Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Kwani Dr alifutwa? Au mkataba haukuhuishwa?
 
huo mda uliotumia kuandika uzi wako hapa jf ungeutumia kusoma ili kuongeza ufahamu wako kwenye nyanja za kimataifa.......
 
Kama swala la Dr Migiro lilikuwa ni mkataba kuisha na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hakuona umuhimu wa kuoongeza mkataba huu wakati hiyo nafasi ilierndelea kuwepo na ilijazwa na Jan Eliasson ina maana alikuwa hamuhitaji tena. Hata ukiisoma CV ya huyo Jan Eliasson utaona kabisa kwamba hakukuwa na haja ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kumwongezea muda Dr Migiro. Lakini kama kuna nia ya kufukua makaburi, mbona hamuulizi kwa nini Mama Mongella alikatishwa ghafla nafasi yake ya Spika wa Bunge la Afrika???
 
tunajua ni shangazi yako ila hakuna namna itabidi mpigane wenyewe serikali----tuko busy sna aise
 
Back
Top Bottom