Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,118
Kwa sasa Migiro anajipanga tena kurudi bungeni kwa kishindo kupitia viti maalum vya wanawake.
Migiro ni Mzigo.
Wasomi wetu ni wazuri wa kukariri ila ukija kwenye application ya elimu zao wanakuwa driven na siasa na hela. Hopeless interlectual.
Kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) wameipiga chini tarehe 30 April kuwa siyo siku ya kupiga kura ya maoni juu ya katiba inayopendekezwa,kunadhihirisha uwezo mdogo wa Bi.Migiro katika masuala ya uongozi,na sasa sishangai basi kwamba UN walimtema baada ya mhula mmoja tu;ni wazi hakuwa na uwezo wa kutosha kumsaidia kazi Katibu Mkuu wa UN kama ilivyo sasa kwamba hana uwezo wa kutosha kumsaidia kazi Rais Kikwete.
Ikiwa wazi kwa kila mtu kuwa isingewezekana refendum kufanyika tarehe 30 April, Migiro alijitokeza na kuanza kulumbana na maaskofu eti kura ya maoni lazima ifanyike kama ilivyopangwa!!!
Migiro na Pinda sahauni urais,mtaondoka na JK.
Nilishamdharau muda kitu kilikuwa wazi kbsa lakini chenyewe kinakomaa ipo pale pale hivi huo u Dr alipataje km hâta jambo kama hili alishindwa kuliona au ndo kujitoa ufahamu kbsa
Muulize mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, na jana nilimuona amepiga upara.Hivi siasa hainaga kustaafuu?
Tena uyo mama anaye itwa Miziroo..anajifanya ata kiswahili kakisahau anaongea poz za kzungu.[/
Mmmm
Nilishamdharau muda kitu kilikuwa wazi kbsa lakini chenyewe kinakomaa ipo pale pale hivi huo u Dr alipataje km hâta jambo kama hili alishindwa kuliona au ndo kujitoa ufahamu kbsa
Umempasha vyema huyo mama 'aliyetimuliwa' kazi UN na Ban Ki Moon.Asha allifeli UN akarudi na afro lake
Miaka aliyokaa hakubadilika. Kapewa katiba huku jk akijuwa mama hana uwezo mbali ya mipasho.