Jamani.............kitu ambacho hukijui ni lazima kitakutoa jasho la bure pasipo ongezi la maana.
huyu mama kafanya MAZURI sana hapa ofisini .....tatizo ni kuwa watu wengi sii wafuatiliaji wa mambo na kwa kweli Watanzania wachache tuna tabia ya kujidharau na haswa mwenzetu akipata kazi nzuri sisi tulioko kweny e hizi ofisi za UN tunajua na kwa kweli inasikitisha kuona utendaji wake ukipigwa DONGO na Watanzania wenzetu.
mama je hamjui watanzania ni moja ya watu walio na SIFA NZURI ya uadilfu na ubora wa kazi UN..........kumbukeni Mzee Nyaki kule Liberia........east timor alikokuwa jaji wetu MKUU........finacial controller hapa NY HQ......mangi Msele........kaizi nzuri aliyoacha kwenye kumbukumbu mzee wetu Pro: Temu.........Mr. mongi kazi yake pale FAO Rome na wengineo wengi ambao ukifuatilai ni utaona ni kwa nin WA- TZ tuna jina UN.