Mifuko ya Plastiki na Ujinga wa watanzania nani alaumiwe?

mikimba

Member
Oct 20, 2010
6
0
Juzi nilinunua camera duka la TOP SHOP Kariakoo,wakanifungia bidhaa yangu kwenye mfuko wa plastic(Lambo) nikaanza kumtukana yule mhindi nikitaka anijuze sababu za kufunga bidhaa hiyo kwenye plastic badalla ya mfuko wa kaki.Nikamwambia Nchi ya Rwanda ungeweza kufungwa ,yeye alinijibu ifuatavyo:-

Ndugu yangu nchi yenu haina sheria,utakumbuka mifuko ya plastic ilipigwa marufuku lakini kwa kuwa wakubwa walikuwa na masilai wakabadilisha wakidai mifuko itengenezwe lakini ya zaidi ya mimi

3.Tukashindwa kuelewa basi mtindo ukawa ni mbele kwa mbele Bunge likaharalisha mifuko ya plastic.Angalia vizibiti mwendo kwa kuwa yalikuwa masilai ya wakubwa sasa hivi havisikiki.Nchi hii ni maali pa kuchota na ukishindwa kuchota kwenye nchi hii basi huwezi kufanikiwa nchi yeyoye duniani.
Ndugu zangu wana JF kwa maneno ya yule mzee nafikiri kwa wakazi wa Dar mnafahamu Duka la Pili barabar ya Uhuru na Lumumba unapoele Ilala nilitoa machozi.

Waziri wa mazingira hasaidii,Halmashauri na zenyewe hazijui wajibu wake na watumishi walioko Halmashauri mbalimbali ni mbumbubu.Wana JF hivi mtanzania anaweza kwenda taifa gani akakubalika kama sheria kwake ni mzaa na kitu cha kurekebisha kila kunapokucha kama hakuna masilahi.

Nakumbuka papa Johh Paul katika mahubiri yaka alisema pamoja na amri kumi za Mungu tunaongeza Amri ya kumi na moja,atakayechafua mazingira kamwe ufalme wa Mungu hatauona.Je watanzania hamuogopi moto wa milele.Mimi naamia Rwanda.Karibu.​
 

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
136
sisiemu wamelala usingizi wa pono,hivi kwa staili ya steven wasira unategemea lipi jipya pale jamani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom