Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,211
- 42,074
Miaka mitano iliyopita serikali ilipiga marufuku mifuko ya plastic kutumika hasa kubebea bidhaa na kulazimisha kutengenezwa mifuko mbadala ya kubebea inayo oza kabisa.
Hili swala la kupigwa marufuku ya mifuko ya plastic lilisimamiwa vilivyo na Mh January Makamba akiwa waziri wa muungano na mazingira!
Baada ya miaka 6 mifuko ya plastic kwaajili ya kubebea bidhaa imeanza kurudi kwa kasi ya 4G na imeanza kuhatarisha viwanda vinavyo tengeneza mifuko mbadala inayo oza au ya karatasi!
Kila mmoja wetu akipita mtaani atakubaliana nami kuwa mifuko ya plastic imerejea na imesha anza kuzoeleka...
Wale wanaopata mahitaji kwa mangi watakubaliana nami kuwa mifuko ya plastic imerudi kwa kasi mtaani!
Huu hapo juu ni mfano wa mfuko unaoweza kupewa kwa sasa ukienda kununua bidhaa huu ni kwaajili ya kubebea bidhaa...