Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

Hbr wana-Jf?Tayari nipo kwny mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa ktk mahusiano km miez 6 kwnz ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwny harakati za kutaka nikapafahamu kwao Mwanza,tupo Moro wote.
Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautam.Ni busara kweli kumpa na je nisipompa akitafuta kwingine je na kunogewa huko?Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too na hata ikiwa tofauti I will be ready kuvumilia yote.
Plz nifanyeje?

We endelea kum bania mpk ndoa utafute mchepuko utaishia kuwa second choice
 
Naomba kuuliza swali...

Hivi ukimuomba ushauri mzinzi/muasherati kuwa udinyane au usidinyane, unatarajia atakujibu kuwa usidinyane?

Mleta mada una kazi ya kuchambua majibu kutokana na concern yako...kumbuka kipofu mmoja hawezi muongoza kipofu mwingine.

Jaman tucdanganyane hapa enzi zakukaa kwenye mahusiano bila kugegedana zilishapitwa na wakati zaman sanaa ebu tazama cku hz nani anoa mwanamke bila kuchallange uterus, mtoa maada we endelea kumnyima ehee mpk siku ya ndoa wakati wenzako wanampa papuchi mwanzo mwsho
na bonus ya 0713.... utaona matokeo ya unachokitafutaa
 
Watu8 kazi ninayo ndio na naifanya ktk uchambuzi wa ushauri wenu.Yap am grown up enough na naamini nitafikia kuamua moja.Nitawashirikisha km mtapenda
 
watu tunaomba cku ya pili mzigo wewe ushakaa miezi miwili upe utamu huo we learn through mistake
 
Miezi nane yote hiyo ni process za uwekezaji au kitu gani? Angalia mazingira ya uhusiano usiweke hiyo papuchi kama ndio kitu cha kumfanya asikuache wakati ni used siku akipiga anasepa zake. Weka mazingira ya kiutu uzima mpe mambo na bonas ikiwezekana
 
Aisee,unanichekesha
 
Hbr wana-Jf?Tayari nipo kwny mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa ktk mahusiano km miez 6 kwnz ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwny harakati za kutaka nikapafahamu kwao Mwanza,tupo Moro wote.
Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautam.Ni busara kweli kumpa na je nisipompa akitafuta kwingine je na kunogewa huko?Japo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too na hata ikiwa tofauti I will be ready kuvumilia yote.
Plz nifanyeje?

Ukimpa tu yanatokea haya, kwanza.. Unashuka thamani kwake sasa hivi your very precious.... Siku ukimpa jinsi alivyokuwa anakuothamini inatoweka....
Kama anakupenda kweli kweli hata ukimnyima miaka 2 still haendi popote...
Pili.. Inategemea atakchopata kwako najua wewe ni armature shughuli bila shaka sio ya professionali so aki compare na kule alikokopita au akicompare na expectations zake kama anavyosikia kwa wanaume wenzake you will definitely fall short of his std so he will degrade you
So usimpe hadi mfunge ndoa deside uzinzi ni dhambi mbaya sana... Mwenyezi hapendi hata kidogo ndio maana ndoa nyingi leo zimegeuka laana badala ya mbaraka
 
Miezi nane yote hiyo ni process za uwekezaji au kitu gani? Angalia mazingira ya uhusiano usiweke hiyo papuchi kama ndio kitu cha kumfanya asikuache wakati ni used siku akipiga anasepa zake. Weka mazingira ya kiutu uzima mpe mambo na bonas ikiwezekana

hahaaaaaa.....hii bonus inakuwaje......?
 
Uzinzi haufaii nakama Ana nia na dhamira ya kweli kuhusu wewe atakuakaribu nawe na lengo litatimia, wale wanaokumbia utanue miguu umwachie apime OIL wanakupumbazaa na utakuja kulia na kusaga meno! We usijali yeye kutoka nje na kupiga hio haiepukiki hata siku ukiwa ndani ya ndoa, so we angalia unachotafuta na trust me sisi wanaume tuna pia kitu inaitwa tolerance
 
Mzee Mwanasiasa,

Kitu kimoja ni clear kwa viongozi wote waliochaguliwa na Mzee JK, ukipaka hurudi tena, nenda mawizarani utaona huo ukweli hakuna anayecheza, ni waziri wa fedha peke yake ndiye untouchable, wengine wote ni Mungu nisaidie,

JK amefukuza viongozi wa Mkapa, na the message is very clear kwa viongozi wote kuwa ukicheza ni on your own risk, ndio uongozi I mean huenda Mzee JK ana mapungufu katika sehemu zingine kikazi lakini at least la muhimu kuliko yote ya kuoneana aibu na kuhamishana hiylo hana, nilikuwepo kwenye mkutano pale foreign wakati anamwambia Asha Rose kazi ya kuwarudisha mabalozi niachie mwenyewe, Mkapa dakika ya mwisho anawahamisha marafiki zake kina Moses kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine na wameshakaa huko nje miaka kibao! JK amesema mbele ya public kuwa maika minane ya ubalozi inatosha, watu warudi wengine waende nao!

Mzee Filga,

Ahsante sana, lakini ninaelekea ukingoni, lakini nitakuwepo nikiwepo au ikibidi!

Kwa wazee wote wa BCS, ndio kwanza tumeerudi bongo bado jua ni lile lile, sasa ngoja tutulie kidogo tuone njia iko wapi, maana kile kijiwe ni marehemu sasa ngoja tuone kwanza,

ahsanteni wazee!

Kwenii karnee hii kuna mwanamke bikra??? Au ni watoto tu ndio mabikra na hao kwa nchi yetu hatuna haki ya kuoa wala kuchumbia
 
Ukimpa tu yanatokea haya, kwanza.. Unashuka thamani kwake sasa hivi your very precious.... Siku ukimpa jinsi alivyokuwa anakuothamini inatoweka....
Kama anakupenda kweli kweli hata ukimnyima miaka 2 still haendi popote...
Pili.. Inategemea atakchopata kwako najua wewe ni armature shughuli bila shaka sio ya professionali so aki compare na kule alikokopita au akicompare na expectations zake kama anavyosikia kwa wanaume wenzake you will definitely fall short of his std so he will degrade you
So usimpe hadi mfunge ndoa deside uzinzi ni dhambi mbaya sana... Mwenyezi hapendi hata kidogo ndio maana ndoa nyingi leo zimegeuka laana badala ya mbaraka

Samahani hapa hivi badala ya kumjenga mtu kuwa mume unamjenga kuwa testa wa papuchi. Ww umeshagegedwa mpaka na yy ameshapita kwingi pia kaeni chini ongeeni wekeni mipango acha ujinga wa kutumia papuchi used kama fimbo maana ataweka great expectations kumbe hamna kitu.unategemea mwanaume rijali atasubiri papuchi za kizazi hiki miezi bila kukutana na mpango kando na mpango kando ukiwa poa by the time ww unampa hiyo akilinganisha na ule mpango kando anaona huna maana, fanya timing ss hivi ndio una nafasi si muda wa pozi tengeneza
 
Wengine uwape afu ye umchomeshe mahindi mmh
Na kwa muda wote huo ambao kijidume kitatakiwa kusubiri,wenzie wataendelea kupewa tu!!ni kama tu ameambiwa apange foleni muda wake ufike!!kuna wa kwangu aliniambia ukweli kuwa atanipa siku nikikaa mkao wa kupewa,na ikawa hivyo bila kinyongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom