Hizo nguvu wanatumia na madawa?unasemaje ni uongo wakati unashuhudia kabisa mtu anachezea vitasa?
watu huvunjika viungo pale hupata ulemavu wa kudumu though ni mchezo unaoongozwa kwa sheria ndio maana unakuta wanakwambia DON'T TRY THIS AT HOME
sina uhakika sana mkuu ila zile issue kama ni maigizo ni kwa asilimia chache sana Randy Orton aliwahi vunjwa bega live akakaa nje kwa muda mrefu lakini pia kuna case nyingine ya jamaa mmoja alikuwa anamuomba msamaha mwenzake baada ya kumnyanyua kwa kumshika vibaya hali iliyopelekea kuanguka na kuumia vibaya sana uti wa mgongo na huo ndio ukawa mwisho wa career zao.Hizo nguvu wanatumia na madawa?
kwahiyo tukuletee yule bondia wa Mbeya tu hapo karibu mtoe igizo moja, au vipi.maigizo tu hayo
wafanye hayo maigizo wenyewe.kwahiyo tukuletee yule bondia wa Mbeya tu hapo karibu mtoe igizo moja, au vipi.
Mbona hata michezo mingine watu wanaigiza na jamii inafurahi tu ?!. Mpaka bongo tuna chama cha waigizaji na bado watu wanaangalia kazi zao ?!.Wana Jf natumai mpo wazima wa afya ,nami nipo good kiafya na Mungu ni mwema siku zote.
Kuna hii michezo ya mieleka, huwa naiangalia lakini mimi sijawahi kukubali kuwa huo huwa ni ukweli.
Kwa mimi huwa naona kama ni kitu ambacho wanaigiza, na ambacho kinaniaminisha kuwa niwaigizaji,
Nipale mtu anauwezo wa kupigwa hadi akatakata kabisa na kuishiwa pozi, chakushangaza atainuka tena na kumpiga mwenzie hadi nae anapoteza system zote
Na kingine ambacho huwa siamini kama nikweli ni ile hali ya kupigwa na vitu vizito lakini jamaa limo tu, linapigizwa kwenye ukuta limo tu,
Mpaka muda huu naandika haya naamini michezo ya mieleka ni uongooooooo [emoji123][emoji125][emoji125][emoji125]
Usisahu kuna watu wamewahi kufa ulingoni. Wanaposema don't try this at home..hawadanganyi..unasemaje ni uongo wakati unashuhudia kabisa mtu anachezea vitasa?
watu huvunjika viungo pale hupata ulemavu wa kudumu though ni mchezo unaoongozwa kwa sheria ndio maana unakuta wanakwambia DON'T TRY THIS AT HOME
Wewe kama unaona ni maigizo, nenda pale ukumbini mchezo umeisha, uombe na wewe uigize pia na yule aliyeshindwa (achana na mshindi) japo dakika mbili, uone wanaigiza kweli au iko vipi.
Kwa ufupi tu ule mchezo una taratibu na sheria zake, kwahiyo usidhani kwamba inafaa kupiga popote na vyovyote, kuna sheria zake, na hizo sheria na taraibu ndiyo hupelekea watu wengi kudhani kuwa ni mchezo wa kuigiza.
Hiv umewahi kuangalia mazoezi wanaofanya?ingekuwa unaangaliaga mazoezi yao usingeuliza swali Kama hilo.kuna siku moja nilikuwa naangalia namna walivyokuwa wanafanya mchujo wakuwapitisha wanna mieleka waliokuwa wameomba kujiunga na WWE walikuwa wanapewa mazoezi Kama ukishinda hayo unaruhusiwa kujiunga nao nakumbuka Kuna watu 6 walishindwa Kati ya 16.
unasemaje ni uongo wakati unashuhudia kabisa mtu anachezea vitasa?
watu huvunjika viungo pale hupata ulemavu wa kudumu though ni mchezo unaoongozwa kwa sheria ndio maana unakuta wanakwambia DON'T TRY THIS AT HOME
Duuh [emoji22]sina uhakika sana mkuu ila zile issue kama ni maigizo ni kwa asilimia chache sana Randy Orton aliwahi vunjwa bega live akakaa nje kwa muda mrefu lakini pia kuna case nyingine ya jamaa mmoja alikuwa anamuomba msamaha mwenzake baada ya kumnyanyua kwa kumshika vibaya hali iliyopelekea kuanguka na kuumia vibaya sana uti wa mgongo na huo ndio ukawa mwisho wa career zao.
Mazoezi gani hayo mkuuHiv umewahi kuangalia mazoezi wanaofanya?ingekuwa unaangaliaga mazoezi yao usingeuliza swali Kama hilo.kuna siku moja nilikuwa naangalia namna walivyokuwa wanafanya mchujo wakuwapitisha wanna mieleka waliokuwa wameomba kujiunga na WWE walikuwa wanapewa mazoezi Kama ukishinda hayo unaruhusiwa kujiunga nao nakumbuka Kuna watu 6 walishindwa Kati ya 16.