Mie wa shopping za Mwenge nikajipeleka Msasani shopping Mall...

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,636
2,725
Ha haaa, kufika pale naulizia bei za chupi naambiwa chupi moja inauzwa sh elfu sitini! Whaat?
Nikauliza kwani hii ya elfu sitini ina tofauti gani na ile ya sh elfu tano niliyozoea kununua pale Mwenge? Hawakunipa jibu!
Eti wadau zile kyupi za pale zimeshonewa na vitaa taa vya L.E.D? Mbona zinauzwa bei vile?
 
zmefungwa GIS
 
Mhhhhhh hatari hiyo....
Na kuna watu wananunua kawaida tu kama wametoa 6,000.

Lakini ni underwear 1 au dozen mkuu?
 
Ha haaa, kufika pale naulizia bei za chupi naambiwa chupi moja inauzwa sh elfu sitini! Whaat?
Nikauliza kwani hii ya elfu sitini ina tofauti gani na ile ya sh elfu tano niliyozoea kununua pale Mwenge? Hawakunipa jibu!
Eti wadau zile kyupi za pale zimeshonewa na vitaa taa vya L.E.D? Mbona zinauzwa bei vile?
Zina choo humohumo nunua tu
 
Kila ndege huruka kwa ubawa wake.
 
Ha haaa, kufika pale naulizia bei za chupi naambiwa chupi moja inauzwa sh elfu sitini! Whaat?
Nikauliza kwani hii ya elfu sitini ina tofauti gani na ile ya sh elfu tano niliyozoea kununua pale Mwenge? Hawakunipa jibu!
Eti wadau zile kyupi za pale zimeshonewa na vitaa taa vya L.E.D? Mbona zinauzwa bei vile?
Ni pm mimi najitolea kwenda kukununulia. Serious
 
Sasa unafikiri magufuli anaposema watu wanaishi kama malaika anajua na inauma sana kwani pato la watu hawa si halali na wengi ni watumiaji tu hata hawawekezi wakaajiri maskini
 
Hapana bhana... Hapo hapo nilinunua soksi pea mbili, boxer mbili na vest mbili kwa laki1. Chupi inawezaje peke yake ikawa elfu60?
 
Back
Top Bottom