- Thread starter
- #41
Siku hizi watanzania tumekuwa waelewa sana tunapokutana na tangazo lenye kuzingatia vigezo na masharti, hatujisumbui kutuma maombi..
poa bwana
Siku hizi watanzania tumekuwa waelewa sana tunapokutana na tangazo lenye kuzingatia vigezo na masharti, hatujisumbui kutuma maombi..
Team madomo zege
SIO LAZIMA KILA POST UCHANGIE YASIYO KUHUSU BASI KAA KIMYA!!!!!!
Kaka achana nao hao, ngoja niongee na jirani yangu mmoja hivi inaweza ikawa bahati yake maana kazi anayofanya kimboka sio nzuri kabisa
umesahau na una mtoto mpenzi...🙂mi sifa zooote zipo ila nasoma igo training senta