Shida ya kukosa basic education! Migomo hufanyiwa adi uingereza na marekani. Kwa Sasa hivi,Kuna mgomo ya walimu katika state ya California.
Shida ya kukosa basic education! Migomo hufanyiwa adi uingereza na marekani. Kwa Sasa hivi,Kuna mgomo ya walimu katika state ya California.
Onyesha nchi yoyote iliyoendelea yenye migomo ya kudai maslahi zaidi, Japan, Norway, German, France, UK, USA. Ukisikia migomo huko haihusiani na Fedha, ninyi nchi yenu imefilisika, maisha ni magumu, mishaara yao haiendani na bei vyakula, nauli za mabasi, bei za UMEME, maji na gharama zingine za maisha. Kenya is a failed state, ukiacha Kenya, ni nchi gani ingine hapa Africa yenye migomo isiyokwisha?Shida ya kukosa basic education! Migomo hufanyiwa adi uingereza na marekani. Kwa Sasa hivi,Kuna mgomo ya walimu katika state ya California.
Hawa jamaa bado wana mawazo ya kitu mwa sana. Amerika wameamua kuhalalisha ndoa za jinsia moja, nao wanataka kuhalalisha, yaani kwao USA ni zaidi ya MunguSo long as it happens in America, no problem if it also happens in Kenya.
But mind you, in Kenya the workers are demonstrating against graft and looting of public fund.
Hawa unajua ni waoga kwao, wakiona ujasiri kama huu wanachanganyikiwa na kushindwa kuelewa inakuakuaje.
Hebu ona wafanya kazi kwao wanavyodhulumiwa
Ona hii, kwenu ndio mbaya zaidi
Pumba tupu kama kawaida,Kufutwa kazi hiyo ni kawida maana mwajri wako ndiye mwenye maamuzi, ila kutupw nje nje bila kulipwa chochote kama jinsi Watanzania hufanyiwa ni unyama sana huo. Tatizo lenu waoga na wavivu...
Unachekesha we jamaa.Kufutwa kazi hiyo ni kawida maana mwajri wako ndiye mwenye maamuzi, ila kutupw nje nje bila kulipwa chochote kama jinsi Watanzania hufanyiwa ni unyama sana huo. Tatizo lenu waoga na wavivu...
Hawa unajua ni waoga kwao, wakiona ujasiri kama huu wanachanganyikiwa na kushindwa kuelewa inakuakuaje.
Hebu ona wafanya kazi kwao wanavyodhulumiwa
Pumba tupu kama kawaida,
Najua unaogopa kuitizama hii video kwa sababu hupendi kusikia ukweli mchungu.
Nimekuambia makampuni hufuta watu, ni jambo la kawaida hata kwenye mataifa yenye uchumi mara 1,000 ya Tanzania, ila kwenu huko wanaofutwa kazi wanatimuliwa bila kulipwa, kutolewa nje nje kwa kudhulumiwa na kwa mlivyo waoga na wazembe mnaishia kupiga kimya.
Kufutw kazi mnafutwa tu, TANROAD wamefutwa 71,000

Ujinga kama kawaida,
Hao wa Tanroad walifutwa kazi kutokana na kufanya vitendo viovu ikiwemo rushwa najua hukuangalia hiyo video umekopy tu link na kuleta hapa,
Hao wakwenu wamefutwa kazi kutokana na hali mbaya nchini kwenu ikimewo uchumi mbovu,
Alafu eti umesema makampuni kufuta watu kazi ni kitu cha kawaida 😂😂😂