Tetesi: Mido Inkamu Kenya: Mgomo mkubwa wa wahudumu wa afya kufanyika

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
15,661
13,818
Kenya mnafeli wapi? Kila kukicha migomo. Ona sasa wahudumu wa afya kulianzisha Jumatatu ya tarehe 4, November, 2019.
Wameapa hakuna kitakacho wazuia.

20191101_203228.jpg
 
20191101_203255.jpg

The reason is embezzlement. The public fund is looted by their leaders. But nothing is do to stop the catastrophe.
 
Shida ya kukosa basic education! Migomo hufanyiwa adi uingereza na marekani. Kwa Sasa hivi,Kuna mgomo ya walimu katika state ya California.
 
Hawa unajua ni waoga kwao, wakiona ujasiri kama huu wanachanganyikiwa na kushindwa kuelewa inakuakuaje.
Hebu ona wafanya kazi kwao wanavyodhulumiwa

wababe tupo gesti huku tanga tunajienjoy! aisee wagome tu nao wapate chao...
FB_IMG_1572594964948.jpg
:D😅
 
Shida ya kukosa basic education! Migomo hufanyiwa adi uingereza na marekani. Kwa Sasa hivi,Kuna mgomo ya walimu katika state ya California.

So long as it happens in America, no problem if it also happens in Kenya.
But mind you, in Kenya the workers are demonstrating against graft and looting of public fund.
 
Nchi yenyewe wanayoigomea imeonesha kila dalili ya hali mbaya ya kiuchumi, kitendo cha kusitisha ajira kwa miaka kadhaa ni hali ngumu ya kiuchumi
 
Hivi majirani lile kaburi la shujaa kule gerezani Uhuru amekubalina na ndugu wa marehemu?.
 
Shida ya kukosa basic education! Migomo hufanyiwa adi uingereza na marekani. Kwa Sasa hivi,Kuna mgomo ya walimu katika state ya California.
Onyesha nchi yoyote iliyoendelea yenye migomo ya kudai maslahi zaidi, Japan, Norway, German, France, UK, USA. Ukisikia migomo huko haihusiani na Fedha, ninyi nchi yenu imefilisika, maisha ni magumu, mishaara yao haiendani na bei vyakula, nauli za mabasi, bei za UMEME, maji na gharama zingine za maisha. Kenya is a failed state, ukiacha Kenya, ni nchi gani ingine hapa Africa yenye migomo isiyokwisha?
 
So long as it happens in America, no problem if it also happens in Kenya.
But mind you, in Kenya the workers are demonstrating against graft and looting of public fund.
Hawa jamaa bado wana mawazo ya kitu mwa sana. Amerika wameamua kuhalalisha ndoa za jinsia moja, nao wanataka kuhalalisha, yaani kwao USA ni zaidi ya Mungu
 
Ona hii, kwenu ndio mbaya zaidi

Kufutwa kazi hiyo ni kawida maana mwajri wako ndiye mwenye maamuzi, ila kutupw nje nje bila kulipwa chochote kama jinsi Watanzania hufanyiwa ni unyama sana huo. Tatizo lenu waoga na wavivu...
 
Pumba tupu kama kawaida,
Najua unaogopa kuitizama hii video kwa sababu hupendi kusikia ukweli mchungu.

Unachekesha we jamaa.
Yani hako kahotel kamoja cha mtu binafsi unafananisha na tukio la mgomo wa madaktari ambao ni watumishi wa umma??
Bro umekula kabla ya kuvuta bangh kweli!!!?
Hao wafanyakazi wa hiyo hotel moja wataandamana na hela zao kulipwa maana ni small case.
Tuje kwenu ninyi watumishi wa umma kada ya afya wanagoma hv unatambua athari zake zikoje??
Km unatambua basi kwenu mna hali mbaya zaidi.
 
Hawa unajua ni waoga kwao, wakiona ujasiri kama huu wanachanganyikiwa na kushindwa kuelewa inakuakuaje.
Hebu ona wafanya kazi kwao wanavyodhulumiwa

si mumuambie Lema?au hahusiki na mambo hayo mnamtaka Raisi aingilie kati.If you stand by me during happy times,you have to stand by me during Difficult/Hard/sad times.
 
Pumba tupu kama kawaida,
Najua unaogopa kuitizama hii video kwa sababu hupendi kusikia ukweli mchungu.

Nimekuambia makampuni hufuta watu, ni jambo la kawaida hata kwenye mataifa yenye uchumi mara 1,000 ya Tanzania, ila kwenu huko wanaofutwa kazi wanatimuliwa bila kulipwa, kutolewa nje nje kwa kudhulumiwa na kwa mlivyo waoga na wazembe mnaishia kupiga kimya.

Kufutw kazi mnafutwa tu, TANROAD wamefutwa 71,000

Ujinga kama kawaida,
Hao wa Tanroad walifutwa kazi kutokana na kufanya vitendo viovu ikiwemo rushwa najua hukuangalia hiyo video umekopy tu link na kuleta hapa,
Hao wakwenu wamefutwa kazi kutokana na hali mbaya nchini kwenu ikimewo uchumi mbovu,
Alafu eti umesema makampuni kufuta watu kazi ni kitu cha kawaida 😂😂😂
 
Umetixama sababu ya hao watu kufutwa kazi??
Taabu kweli kweli.

Kupeleka watu 71,000 mtaani kwa kuwabambikizia mambo ya ovyoo ilhali ukweli ni matatizo ya kiuchumi serikali kushindwa kukimu, dah nyie huvunja rekodi, yaani mwanzoni nilidhani nimeskia vibaya 71....kumbe 71,000 yaani umaskini ni laana.
Kufutwa kazi kutokana na changamoto za kiuchumi ni kitu cha kawaida, nimekuambia hutendeka hata kwenye nchi tajiri zaidi yenu mara 1,000 sembuse shithole maskini kama nyie ambapo wengi wenu asilimia 70% mnaishi kwa kiwango cha chini cha umaskini.
 
Back
Top Bottom