St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Swala zima lililonifanya niulize ni sababu ndugu Michuzi anaongozana na raisi Kikwete karibu safari zote za ndani hata nje ya nchi, hio ni moja.
La pili, mawakala wengi wa usalama duniani hutumia staili hii ya waandishi wa habari kama 'undercovers'.
So, moja jumlisha mbili ndiyo imezaa swali langu:
wewe unaleta hoja ya bangi;
swala zima lililonifanya niulize ni sababu ndugu michuzi anaongozana na raisi kikwete karibu safari zote za ndani hata nje ya nchi, hio ni moja.
La pili, mawakala wengi wa usalama duniani hutumia staili hii ya waandishi wa habari kama 'undercovers'.
so, moja jumlisha mbili ndiyo imezaa swali langu:
Wewe unaleta hoja ya bangi;
yeyote aliyekujibu vibaya mfananishe na punguani yeyote yule,michuzi mi mpiga picha wa raisi.kwanini nistake na zote ni kazi:
Nataka kufahamu tu, sababu nimemuona kwenye matukio mengi ya raisi na ziara zake,,hata za ughaibuni:
Lengo ni kufahamu tu,by the way,,,nakubali sana kazi zake za picha pamoja na uchesi na ukarimu wake na jinsi alivyochochea maendeleo ya blogu hapa tanzania.
Anaweza kutoa 0713..............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:israel:Mambo ya kujipendekeza!
Kwa jinsi alivyo nikisikia hivyo sitoshangaa!Anaweza kutoa 0713..............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:israel:
Wivu wa kike, unadhani ukiandika she ndio mafanikio yake yatahamia kwa familia yenu iliyoandamwa na wimbi la dhiki?
Acheni kudharau kazi na utu wa mtu, kama hujisikii kuchangia hata kukaa kimya pia ni mchango.Anaweza kutoa 0713..............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:israel: