Michirizi ya Damu

Michirizi ya Damu

HV haiwezekani mods mkaweka story yote kwenye page ya 1 na kila inapoongezwa mkafanya iwe inaendelea hapo hapo? Maana naona km ni kero unakuta Uzi umejaa story za majibizano ya watu wa3 tu na wanachojibizana wanaweza kuambiana kwenye simu zao binafsi sasa kwa sisi tunaotafuta story tu inatupa kero kuitafuta.
Mkuu tusamehe tu story bila chit chat haionogi we achana na chit chat fatilia story pia mods wakifanyia kazi ombi lako itakuwa vizuri sana ubarikiwe mnooo
 
Back
Top Bottom